1.ubishi na ujuaji
Siku hizi ni jambo la kawaida kukuta msichana ni mbishi (argumentative) na mjuaji, anabisha na kuweka ujuaji sana (wakati mwingine hata mbele ya watu) huku kukiwa hana nia...
kweli woman is a pot full of poison, kuna bint wazaz wa mwanaume walimpenda na wakampa namba kijana wao wakaanza kuwasiliana, ndan ya miez 2 et akachukua hatua ya kuwapigia wazaz wke kuwa kapata...
Safari yangu kuelekea nchini rwanda imekuwa poa sana. Nimeenda salama na nimerudi salama kabisa.
Ila kule nilipoenda nimepewa masharti magumu kiasi fulani. Masharti hayo ni pamoja na mtoto wa...
Leo kuna jambo moja hapa nataka kulizungumzia.
Katika makuzi yangu nimejizoesha kutolala na nguo ya ndani, yaani nikitupia gauni langu refu la kulalia huku mwili wangu ukiwa mtupu kabisa basi...
I am very good looking man, i am 6ft tall, average body bulder, free from diseases, kind, loyal, charming and educated, i am not rich or loaded with cash, but i am a hard worker and i dont believe...
Kuna mjadala nimeukuta kwa rafiki yangu Somoe huko maeneo ya fulani hivi majuzi. Mjadala wenyewe ulikuwa ni kuhusu michepuko ya wanaume.
Huyo shogangu alikuwa anamshauri shogake aliyekuwa...
Mungu wangu. Dada ako akabadili mtindo wa ukaaji pale mgahawani. Mwanzo tulikaa kama vile watu wakaavyo katika siti ya dala dala, ile siti ya watu wawili, lakini sasa amekaa tunatizamana. Nikaona...
Mambo wadau, kichwa cha habari chajieleza lakini si vibaya kujikumbusha historia. Siku za nyuma, naogopa kusema zamani manake watakuja wanaotaka source na picha hapa wakati mi sina ilikua hivi...
Namsteeee!
Longtime no see you people! Its 2014 Lara1 is a business woman now! Time imekuwa zaidi ya money! Nimeimisije Telemundo my heart beats for Lola. Still those were the best days! Unakaa...
Habari za asubuhi wakuu..
Husika na kichwa cha habari hapo juu.. nawaza sana
Jamani mimi sijui na tatizo gani yani vitu vikubwa vikubwa navichukia hata kama ni kitamu nakuwa sikifurahii...
Inafikia mahali naanza kuhisi sisi tunaabuse kila kitu, yaani tunaenda kinyume na ulimwengu. Just imagine unafanya kazi namaanisha kazi anzia asubuhi mpaka jioni kwa kutumia akili.
Wataalamu...
Namasteeeeeeee!!!
Hapa mjengoni nipo na bibiye lara 1 ambaye ni mmoja wa organizer wa mjumuiko wa raia wa JF wa mkusanyiko unaotarajiwa kutaradadi siku ya tar 25 mwezi huu huu wa Januari...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,ninatafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa,sina ubaguzi wowote ule na nipo Serious juu ya suala ili,yule mwanamke aliyekuwa tayari kuingia ktk maisha ya Ndoa...
Mimi ni mvulana
Nna miaka 31, mkristo(RC),
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna watoto wawili
Sifa:
Awe na umri kati ya 25-28
Awe mkristo
Awe...
Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.
Watu tuliosoma kwa shida tena kwa mama zetu kuuza gongo ili tusome tukishapata kazi tunaishia kuwahonga wanawake na kuwasahau mamazetu.
Mpaka tukafika hapa tulipo mama kijijini analala kwenye...
Sijui ni ushamba wa polisi ama sijui ni umbumbumbu wa wa tz. juzi usiku majira ya saa mbili hivi usiku nilitoka na mpenzi wangu kwenda kupunga upepe hapo coco beach, tukapiga wine glas mbili...
Wana JF,
Mimi nina mdada nimezaa naye ila yupo kwao, mtoto namtunza vizuri tu mahitaji yote anayotakiwa kuwa nayo mtoto ila cha kushangaza jana nimempigia sim mama mtoto wangu kaniambia...