Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Heshima kwenu wakuu Napenda kutanguliza shukran kwa member wote wa MMU. Hill jumba limepanuka sana kama sio kukua. Na mnapo kua kundi la watu haina budi kua na kiongozi. Mapendekezo yangu...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Nimetoka safari juzi kufika tu nyumbani nkaambiwa na majirani mimi tu nilivyosafiri wiki jana nayeye aliondoka nyumbani lakini nikiwa safarini tulikuwa tukiwasiliana vizuri. Jamani nifanyaje...
0 Reactions
86 Replies
10K Views
Kweli duniani hatupendani, juzi kati nimekaa na mtu wa nyanda za juu kusini tukapanga kuanzisha biashara ya kupika chakula kwenye sherehe mbalimbali. Tukaweka mikakati kemkem na mipango mizuri...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Naishi mza. nikijana wa miaka 25 natafuta mchumba msaada wenu tafadhar
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu nilienda kazini jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia. Jion bila kuaga akaondoka, akarudishwa na men...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Nimekuwa najiuliza sana kwamba unaruhusiwa kugegeduana na mwanamke muda gan kabla ya kujifungua?......maana niliwahi kuambiwa kuwa eti hata cku moja kabla ni ruksa tu...sasa kwa mnaofahamu hebu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natafuta rafiki wa kike sister duu mwenye elimu, japo awe ameatend course yoyote, awe na account ya bank, anayejua lugha ya kiswahili na kiingereza,awe tayari kupima afya, awe mweupe lkn cyo kwa...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Habari za sasa wana jukwaa.. naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao.. 1. wanawake wanasheria.. 2. wanawake wenye...
4 Reactions
268 Replies
31K Views
1. My son, if you keep spending on a woman and she never asked you if you’re saving or investing, and she keeps enjoying the attention, don’t marry her. 2. My son, a woman could be a good wife...
1 Reactions
2 Replies
974 Views
Kwakweli inasikitisha sana na inaumiza, unakuta mtu katafuta mchumba awe ni mwanamke au mwanaume mnaanzisha mawasiliano vizuri tu, cha ajabu mtu anakuwa hayuko serious kabisa. Na kama unajikuta...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari za hapa wakuu. Nimekaa nikatafakari sana bila majibu, Kuna wanawake unakutana nao unawasalimia hawajibu hata unapomtongoza hasomeki kabisa yaani ana majibu ya utata. Ukimsemesha anakuwa...
0 Reactions
64 Replies
16K Views
Inavunja moyo sana, ''Binadam Kaumbiwa Mateso'' lakini anastahili kupozwa. Mwenzio anajitutumua, kidogo alichopata kushea nawe. Ni kidogo lakini hata shukrani hakuna? Wanibipu baada ya masaa 9...
0 Reactions
72 Replies
5K Views
Kulala pamoja? Kufuliwa nguo na viatu? Kupigiwa pasi? Kuogeshwa? Kuitwa mme/mke wangu? Kulea watoto pamoja? Or what? Naomba mnijibu coz mimi kama mimi sijaona sababu mzuri ya kuoa and may...
2 Reactions
108 Replies
10K Views
when the man is silent it is easy for the woman to imagine the worst Women misinterpret a man's silence. Depending on how she feels that day, she may begin to imagine the worst- "He hates me...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
  • Closed
"Nimeambukiza maelfu ya watu VVU katika jiji la Dar" Mimi ni Jane naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza...
6 Reactions
170 Replies
23K Views
Hali zenu wakuu, mimi ninamke ambaye tumeoana kwa miaka mitano tunawatoto wawili. Tatizo kila tukitofautina kitu anasema atajiua kwani yeye yatima na atawaua watoto so that nianze upya na nitakaye...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Vyumba 2 Choo Bafu
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Natafuta mchumba kutoka Tanga au mwenye asili ya pwani.... Nafahamu ni ngumu sana kupata mwenye mapenzi ya kweli kutoka mtandaoni..tuwasiliane hapo chini tuone tutafika waoi Mawasiliano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF. Nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora, yupo smart, intelligent na very...
0 Reactions
142 Replies
23K Views
kulikuwa hamna wakwe nini?
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…