Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani hii kali,kunajamaa kashitakiwa kwawazee na mkewe kisa kazidisha kupiga puchu.Imefikia mahali mume anaweza kuahirisha gemu usiku mkali aingie bafuni afanye yake!Je huu ni ugonjwa ama nikawaida?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
napenda kutambua uwepo wa Honey Faith
0 Reactions
34 Replies
3K Views
apart from kabila,sura,uzuri yapo mambo ya msingi kabisa ambayo mwanaume unapaswa kuyazingatia kabla hujaamua kupropose. ifahamike kwamba mwanaume unapaswa kuitumia vema nafasi iyo maana ni haki...
1 Reactions
88 Replies
6K Views
leo ndio leo. ni ndoa na ndoano zake tu......ukiipenda utaichukua!! 1.Lazima UNIZALIE MTOTO.PERIOD 2.Lazima niishi na wewe mwanamke japo mwaka mmoja nikujue vitu fulani fulani. 3.sasa baada ya...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Hivi hii serikali katika vitu vya kushadadia wameona hii ya kutowahudimia wake zetu hadi tufuatane nao clinic ndo kitu cha maana sana??Hivi kuna umuhimu gani tuongozane nao? hivi hii itapunguza...
0 Reactions
69 Replies
10K Views
Sielewi nini kinaendea.nimekua naye kutwa nzima jana na leo nimedamka kwenda kumuaga ubungo.hategemei rudi karibuni.anaishi mbeya.hatukupasha kiporo lakini cjui nini anawaza nami cjui nini...
0 Reactions
114 Replies
11K Views
Naitwa Mwl Kimaro nafundisha Sec moja ipo Moshi vijijjini nimekua nikipata tabu kweli kwenye suala la kuchagua mke kama mnavyojua fani yetu hii bila mke hawa watoto watatufunga. Natamani kuoa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana MMU.Leo nimeamua kuwashirikisha kisa kilichomtokea rafki yangu wik end iliyopita. Ni hivi,jamaa kuna demu alikuwa anamfukuzia kwa takriban nusu mwaka sasa lakini demu...
4 Reactions
43 Replies
8K Views
Wanafalsafa wanasema kuwa: You can give without loving, but you can not love without giving! Jamani ukweli wa usemi huo ni upi. Vijana mnasemaje, labda na wazee!
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habarin wandugu, Nina mpenzi wangu ambaye tulianza uhusiano tangu mwaka 2006 yeye akiwa form 2 wakati huo mm nilikuwa form 3. Tumekuwa katika uhusiano katika kipindi chote hicho tukiwa serious...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Huyu jamaa kazaa watoto wawili wa kike na mwanamke wa kwanza, akamwacha na kutafuta mwingine, nae kazaa naye wa kike wa3, kamwacha kaenda kwa mwingine wa tatu huyo, sasa ana watoto nae wawili wa...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Kila mahali sasa kila mtu anazungumzia mapenzi......wakati enzi zile (ambazo kila mtu anaziita enzi zetu) mapenzi yalikuwa siri ya wawili tuuu.....jmn tupunguze au tubadilishe style!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Lawrence my name contact me through thobiasezekiel.99@gmail.com.mambo mengine tutafahamishana tukiwa twachat.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu salaam,kuna jambo linanitatiza nimeona niliweke hadharani ili mnishauri kijana wenu. Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti mmoja ambaye alinisaliti na...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Hope mko salama wakuu... Mi nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana but kwa sasa nahisi hanifai na hii yote ni kutokana hiki. Nilipanga chumba somewhere, but kabla sijamaliza mwezi...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Mama mmoja alikuwa ameolewa na mwanamume wa Mwanza lakini wakawa wanaishi Dar alikokuwa anafanya kazi mume. Mwaka 1992 wakakorofishana na mwanamke akaondoka kwa mumewe na watoto wadogo wawili...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Hawa nao ni Adamu na EvaNDOA, TALAKA NA KUOLEWA TENA UTANGULIZI Ndoa ilianzishwa (instituted) na Mungu. Mungu aliumba mke kwa ajili ya Adamu kwa kuwa Mungu aliona "Haikuwa vema" kwa Adamu kuwa...
1 Reactions
31 Replies
22K Views
Kwa fitina na taarifa potofu anazotoa juu yangu, nami ni rafiki yake muda mrefu na tuko wote kampuni moja,kila nikimtaka tukae tujadili kuhusu mambo anayonizushia huku...
0 Reactions
80 Replies
11K Views
Hakuna kitu kinachoumiza katka maisha kama usaliti katika mapenzi.ndio usimwamini anaesema anakupenda na ukamkabidhi moyo wako wote unaweza ukanywa sumu.siamini kama rafiki yangu anakosa raha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni ushauri marafiki zangu ndani ya JF, Nina mpenzi wangu ambaye mwanzoni tulipendana sana, nilikuwa namtoa na kumpa kile akipendacho. Nipo nae kwa mda wa mwaka na nusu sasa hakika nampenda...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…