Habari zenu wandugu, natumai mko salama.
Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo...
Football vs Sex.
1. Going to your bf/gf without being invited = OFFSIDE.
2. Dating a girl today and having sex on the same day = FREE-KICK.
3. Condom = GOALKEEPER
4. Condom breaks...
Wanajamii,hv kuna matatizo yoyote yanayoweza kumkuta mtu mbeleni especially akioa mapema? Nauliza hivi manake kuna mdogo wangu wa baba mkubwa 17yrs old ameamua kuoa. Is he really matured enough...
huyu dem nilitaka kumuoa akakataa na kudai ana mtu anayejulikana haqdi hom sasa ni mwaka wa tatu bado yupo yupo tu hadi akiniona anabadili uelekeo.Sitomsahau kwani alinikejeli kwa kuniambia labda...
Ukipata mwanaume anayekupenda, kukuheshimu na kukujali mshukuru tu Mungu kwa hilo, ila kuhusu kuchepuka usimchunguze kabisa mwanaume usije kufa kwa presha bure. Yaani mwanaume hata iweje...
JF Eti is it true kuwa bed expertism na miuno ya kutosha ndio inafanya,watu wa last long kwenye mahusiano maana huku mtaani watu wanadai hawawezi kuwa na,watu wasiochakarika kwa bed!!!!kuna ukweli...
wasalaaam wana bodi.....
ni matumain yangu mko poa na wikend...
Binafsi nimezaliwa na kukua mikoa ya kaskazini...nikabahatika kusoma chuo Morogoro...kwa mfano nilipozaliwa na kukulia ilikua...
Habari zenu waungwana!!
Kuna hii taabia ya kipuuzi imekuwepo sana kwa watu japokuwa sii wote.
Unakuta mtu anamke/mme wake au mchumba na wanapendana kweli kweli "eti"anaibuka mtu pasipojulikana...
Madereva boda boda siku hizi wanapumua kwa kupata free papuchi,huku dada zetu wakipata free transport,najua sio wote ila huu mchezo umeenea sana,hata via mobile phones most of women wana number...
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?
Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?
Hivi nashindwa kuelewa kila uendapo nchini kwenye mitaa utakuta kuna vyama vya kina mama utasikia tu mke kaaga naenda kikao tuna chama chetu cha kukopeshana lakini huwezi hata siku moja kuona kaja...
Tumekua tukisikia visa vingi sana vinavyotokana na mapenzi, yani pale Mwanamke au Mwanaume anakuta msg za ajabu baada ya kuchukua simu ya mpenzi wake, ila hii ya Brazil ilivunja rekodi...
Natumaini ni wazima,
kuna ka research ninafanya, kwahiyo ningependa kupata ushirikiano kutoka kwenu ndugu zangu
kama wewe ni dada, je ulishawahi kutoa mimba? kama ndio ni mara napi? sababu...
Hii tabia niliishuhudia zamani kidogo, niliona jamaa kakataliwa akamtukana dada wa watu matusi machafu hata siwezi kuyaweka hapa ni machafu kwelikweli hadi mtt wa watu akalia machozi.....na vidume...
Habarini wana MMU,
Nimekuwa nikifikira juu ya swala hili kitambo na hatimaye kuamua kulileta mezani ili tulijadili kwa pamoja.
Kumekuwa na mitafaruku ya kimapenzi ya hapa na pale (kuingia kwenye...
Huwa waja wote tunajua kuwa wakumtegemea ni Mola lakini M.Mungu katupatia viongozi wa kuuongoza. Katupatia matajiri wa kutupa ajiri za kuendesha maisha yetu ya kila siku
Hawa wote wanamtegemea...