Lakini huyu anaongelea wanawake weusi tu au inahusika kwa weupe pia maana kwao pia enzi za zamani mwanamke alikuwa ni mama wa nyumbani na baba mchacharikaji.Lakini kwenye mataifa mengi sasa kwenye wakati huu wa utandawazi kuna equality ya 50/50 kama wote mnafanya kazi mnagawana majukumu...nadhani hatukuwa na uwiano iwapo mwanamke atabeba majukumu ya mwanaume...akimzidi kipato maanake asilimia kubwa ya majukumu itaangukia upande wake..Na katika culture zetu mwanaume ndio anatakiwa abebe mzigo wa majukumu..Kwa mantiki hio inaingia akilini kwamba ni bora mtu awe na mwenza ambae wanalendana kipato,elimu n.k...Ijapokuwa najua zipo ndoa na mahusiano ambayo yanadumu pamoja na kwamba baadhi ya wanawake wana kipato cha juu...Thank you.
Lakini huyu anaongelea wanawake weusi tu au inahusika kwa weupe pia maana kwao pia enzi za zamani mwanamke alikuwa ni mama wa nyumbani na baba mchacharikaji.Lakini kwenye mataifa mengi sasa kwenye wakati huu wa utandawazi kuna equality ya 50/50 kama wote mnafanya kazi mnagawana majukumu...nadhani hatukuwa na uwiano iwapo mwanamke atabeba majukumu ya mwanaume...akimzidi kipato maanake asilimia kubwa ya majukumu itaangukia upande wake..Na katika culture zetu mwanaume ndio anatakiwa abebe mzigo wa majukumu..Kwa mantiki hio inaingia akilini kwamba ni bora mtu awe na mwenza ambae wanalendana kipato,elimu n.k...Ijapokuwa najua zipo ndoa na mahusiano ambayo yanadumu pamoja na kwamba baadhi ya wanawake wana kipato cha juu...
Kitu kingine ni kwamba mwanamke akishaelimika na kuwa uhuru ni kama akili inafunguka kwasababu anajua haki zake na hio wengi inawapa kibri cha kusema i can do anything by myself...Lkn ukweli wa mambo ni kwamba separate poles attract each other...Its just nature...A man without a woman is worthless and vice versa!!
Kweli kabisa BAK wanaume wengi ni wakandamizaji na haswa hao wanaoenda kuoa wanawake wenye elimu ya chini ndo ni wale wa mfumo dume..Kwasababu wanajua pia mwanamke asiye na elimu hajui hata kujitetea kwa kujijengea hoja yeye ni kutii tu.Lakini kwangu mimi ni insecurity kubwa sana kwamba mwanaume asiweze kummudu mwanamke ijapokuwa wana elimu iliyo sawia,mtu wa aina hio hata hio shule na elimu aliopata haikumpa maarifa ya kutosha na kama ingelikuwa vingenevyo angeweza kummudu msomi mwenzie kwasababu ndio wataelewana lugha na hata hojaa...Mwanaume anatakiwa awe mwanaume na ajitambue na mwanamke yoyote atamheshimu.....Hapo kwenye rangi umegonga pale penyewe kabisa gorgeousmimi. Ni kweli mwanamke msomi hayuko tayari kunyanyaswa kwa namna yoyote ile au kukubali upumbavupumbavu ambao kwa yule ambaye si msomi unakubalika kirahisi. Ndio maana unaweza kukuta mwanaume msomi mwenye Masters au Phd anaenda kuoa darasa la saba au O'level. Ukimuuliza ni aje kuoa huyu wa elimu ya chini hivi ukilinganisha na elimu yako? Jibu lake litakuwa, "Hawa wanawake wasomi ni wakorofi sana na pia ni wajuaji" lakini kiukweli ni kwamba wanajua haki zao halafu wana uwezo wa kugharamia gharama zao za maisha ya kila siku ukilinganisha na mama wa nyumbani.
Nimeipenda sana hii, "A man without a woman is worthless and vice versa!!"
me ndo mana kwa kweli with all due respect I prefer a man alienizidi kila kitu,umri ,elimu,kipato nk,naona ntamheshimu zaidi kuliko me nikimzidi..hamnaga haki sawa kwenye relationships,zipo majukwaani na ofisiniLakini huyu anaongelea wanawake weusi tu au inahusika kwa weupe pia maana kwao pia enzi za zamani mwanamke alikuwa ni mama wa nyumbani na baba mchacharikaji.Lakini kwenye mataifa mengi sasa kwenye wakati huu wa utandawazi kuna equality ya 50/50 kama wote mnafanya kazi mnagawana majukumu...nadhani hatukuwa na uwiano iwapo mwanamke atabeba majukumu ya mwanaume...akimzidi kipato maanake asilimia kubwa ya majukumu itaangukia upande wake..Na katika culture zetu mwanaume ndio anatakiwa abebe mzigo wa majukumu..Kwa mantiki hio inaingia akilini kwamba ni bora mtu awe na mwenza ambae wanalendana kipato,elimu n.k...Ijapokuwa najua zipo ndoa na mahusiano ambayo yanadumu pamoja na kwamba baadhi ya wanawake wana kipato cha juu...
Kitu kingine ni kwamba mwanamke akishaelimika na kuwa uhuru ni kama akili inafunguka kwasababu anajua haki zake na hio wengi inawapa kibri cha kusema i can do anything by myself...Lkn ukweli wa mambo ni kwamba separate poles attract each other...Its just nature...A man without a woman is worthless and vice versa!!
Kweli kabisa BAK wanaume wengi ni wakandamizaji na haswa hao wanaoenda kuoa wanawake wenye elimu ya chini ndo ni wale wa mfumo dume..Kwasababu wanajua pia mwanamke asiye na elimu hajui hata kujitetea kwa kujijengea hoja yeye ni kutii tu.Lakini kwangu mimi ni insecurity kubwa sana kwamba mwanaume asiweze kummudu mwanamke ijapokuwa wana elimu iliyo sawia,mtu wa aina hio hata hio shule na elimu aliopata haikumpa maarifa ya kutosha na kama ingelikuwa vingenevyo angeweza kummudu msomi mwenzie kwasababu ndio wataelewana lugha na hata hojaa...Mwanaume anatakiwa awe mwanaume na ajitambue na mwanamke yoyote atamheshimu.....
me ndo mana kwa kweli with all due respect I prefer a man alienizidi kila kitu,umri ,elimu,kipato nk,naona ntamheshimu zaidi kuliko me nikimzidi..hamnaga haki sawa kwenye relationships,zipo majukwaani na ofisini
Utafanyaje pale ambapo umefall in love na mtu ambaye unamuona anastahili kabisa kuwa mume wako naye amekupenda kiasi cha kuona unastahili kuwa mkewe lakini ukaja kugundua kipato chako ni kikubwa kuliko cha kwake. Je, utabwanga manyanga?[/FONT]