Madereva boda boda na dada zetu

Madereva boda boda na dada zetu

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,966
Madereva boda boda siku hizi wanapumua kwa kupata free papuchi,huku dada zetu wakipata free transport,najua sio wote ila huu mchezo umeenea sana,hata via mobile phones most of women wana number nyingi za boda from different corners of the city than men,

hata sometimes wakilipa at minimum cost ,okey inawezakuwa ni status ya maisha yao na we are less concerned ila ni risk kwa magonjwa,mimba za kutojitakia,kujimilikisha bila kujitambua,huku ni kujishusha thamani tena sana
 
ogopa sana mwanaume anaefanya kazi saluni za kike.. bodaboda.. mafundi makucha nk.. hawa majamaa weka mbali na mkeo..
 
Dada wa kazi alituaga eti anaenda kumwona mama yake ni mgonjwa harudi tena, kumbe kaolewa na Boda boda wa mtaani.
 
There are some elements of REALITY in this post
 
wivu huo.... ka vipi na we nunua boda boda utege!!! demu ka ni wakuchepuka hata umfungie kwenye friji haisaidii
 
Shem kwani dereva bodaboda sio mwanaume??

ni mwanaume
je why utoe papuchi for free transport,utatoa kwa wangapi?afu wengine wake za watu,wanafunzi
hii cycle ni risking sana
 
kama unahitaji huduma ambayo mwenzako yuko tayari kukupa in exchange na huduma yako pia powa. Kikubwa asiwepo yeyote anayepata madhara hasi kutokana na mbadilishano huu
 
Nadhani inategemea vile wengine wanavyo tumia vibaya miliyao au wanavyoifanya ndio mtaji wa maisha yao,dereva wa Boda Boda,wa Bajaji wa tax kama wewe unaetakiwa hutaki hawezi kukulazimisha,na wengine huwaona wadogo zao dada zao au wake zao wanatoka na mda wanao wakuwasindikiza utasikia chukua Boda Boda nenda au mpigie yule dereva wako wa Boda Boda akupeleke yeye kalala au anaangalia TV na gari ipo au hata kusema lete niende mm wewe kaa....mengine wana yaanzisha wao............
 
Dada wa kazi alituaga eti anaenda kumwona mama yake ni mgonjwa harudi tena, kumbe kaolewa na Boda boda wa mtaani.

utasikia uko wapi hamadi,njoo mara moja,mara vu halafu unasikia mpeleke rafiki yangu mbezi jioni natoka uje ntakumaliza,kumbe ni signal tu.
 
Back
Top Bottom