Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 229
- 28
huyu dem nilitaka kumuoa akakataa na kudai ana mtu anayejulikana haqdi hom sasa ni mwaka wa tatu bado yupo yupo tu hadi akiniona anabadili uelekeo.Sitomsahau kwani alinikejeli kwa kuniambia labda usubiri akigongwa na gari afe ndo uje.Nilikata mawasiliano jumla hata text zake sijibu,sasa akiniona heee.....