Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

Kifuniko

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
97
Reaction score
18
Hivi nashindwa kuelewa kila uendapo nchini kwenye mitaa utakuta kuna vyama vya kina mama utasikia tu mke kaaga naenda kikao tuna chama chetu cha kukopeshana lakini huwezi hata siku moja kuona kaja na burungutu. Hivi mbona kina baba hawana hivyo vyama na ndio wanaotegemewa kwenye familia. Au sijaelewa maana wanaume wakiweka chama utasikia umetutenga , ubaguzi wa jinsia wakati hata wanaume wanahitaji misaada na mikopo. Hebu nijuzeni
 
Daah hiyo avatar yako hadi nimeogopa kukujibu usije rusha hiyo spana, wewe ndio utujulishe hiyo mikopo mnayopeana mbona majumbani hatuioni ikichangia maendeleo au inatumika vipi bila sisi kuona
Waulize wanaume wenzio.
 
Na mengine muyaachage kama yalivyo.
 
Viko vyama vya wanaume vikao tunafanyia bar siku za weekend, kama yeye ni mnywa kahawa au swala tano hawezi kuzijuwa hizo network.

Umeniwahi mkuu, vyama vya wanaume tunakutana viti virefu tena atleast kila siku sio hao wamama wanakutana kwa wiki. Huko ndo "madeal" na mipango yote ya kuishi inapangwa, na mikopo inapatikana huko pia ila in a way ya "gents agreements", nyumba zinajengwa huko, mashamba ya kibada na chanika tunanunua huko, Yeye tu mtoa mada hajaamua kujiunga
 
Hahahahahah

Hawakuwa wanafuatili visamaki vyao hao kwenye vitabu

Hahahahah....



Nimechekaaa...hapa nimetoka kushuhudia watu wamedhulumiana kwenye kundi...samaki hajazaa hata dagaaa....lol
 
kwanini uweke huko hadi mwisho wa mwaka siuweke bank kama uko serious na kusave kwani huyo mnaempa aweke kuna insurance au anaweza zama na kibubu chote
 
inategemea na kikundi chenyewe..,vingine umbeya tu
 
Back
Top Bottom