Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nilikutana nae miezi miwili, iliyopita,ni mchepuko dizain jana pia nilikuwa nae kuanzia saa sita mchana hadi asubuhi hii, ni binti mmoja mrembo wa kisingida, nimempata bata za kutosha ucku mzima...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
SAMAHANI KIDOGO.. Nimejaribu kuchunguza kuhusu uvaaji wa "Tight" au zile chupi za Kubana Kwa dada zetu nikagundua wanawake wengi wa kizungu hawavai hii kitu kama sisi weusi..wao ni chupi tena...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
siamini bado,maumivu niliyonayo ni mazito, mke wangu umeniacha,kukosa kazi limekua tatizo; nimetoka mihangaikoni narudi nakuta haupo nyumbani umeondoka na mwanangu,bado nampenda sana huyu mwanamke...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Baada ya kufuata ushauri wenu na kujionea yoooote hayo niliyoona. Nimeamua kabisa kuachana na mtoto wa kinyarwanda. Sasa hivi niko free. Natafuta kitoto cha kitz kitakacho nikonga moyo wangu...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Nimefanya kautafiti kangu hapa na pale nimegundua mabenki 98% yana milikiwa na makampuni ya nje hapa tz. Nilikuwa nadha CRDB labda asilimia kubwa ni watz kumbe wapi. Nimeshangaa sana benk kama...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
1 - Unapoamka asubuhi wazo la kwanza kukujia linamhusu mpenzi wako au unafikiria zaidi kazi na mambo mengine? Una msukumo wa kutaka kumsalimia na pengine kumuuliza anapenda afungue kinywa kwa...
5 Reactions
68 Replies
11K Views
Hello wana jf mimi nina utata kidogo na swala tunaposema wapenzi waendane nje ya tabia nahobbies wat else is most iimportant.mfani naskia wengi wanasema diamond na wema hawaendani.mbona wema ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwezi uliopita nilipata ugeni hapa kwangu, alikuja dada mmoja kwa sasa anamalizia masomo yake ya Nursing katika chuo kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Dada huyu ni mzuri balaa na ukizingatia ana...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
kutokana na kukua kwa teknolojia kuwasiliana siku hizi imekuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Teknolojia pia imeleta vitu vingine ambavyo vimepata ushabiki hapa bongo kama vile ligi kuu ya...
3 Reactions
69 Replies
12K Views
Ni chanzo cha wanaume wengi kupenda wanawake wenye makalio makubwa? Je wanaume hao wanayatumia makalio hayo? Au hapa na pale ni palepale?
1 Reactions
101 Replies
19K Views
Habari wana MMU Nimekuwa nikijiuliza,pia kuona halafu watu wanavyoongea kuhusu maisha ya ndoa.Inavyo onekana ni kwamba mwanamke hana haki.Mfano, mwanamme akihitaji kufanya tendo la ndoa na mke...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri. Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
3 Reactions
123 Replies
10K Views
Habari ya weekend wana JF, Katika pitapita zangu na kudadisi familia za kibongo, nimegundua kuna umuhimu mkubwa wa kuzaa watoto katika ndoa kwa sababu watoto wanaotunzwa kwenye malezi ya baba na...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Mbona sioni utamu wa mapenzi kiasi cha watu kuuana na kujiua, naona kawaida tu au siko normal ?
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Kuna baba fulani hapa mtaani kwetu ana tabia ya kumtaka kila binti atakayemtamani na kibaya zaidi kuna tetesi za chinichini kuwa ni muathirika.Tabia yake imezidi sasa kwani nimegundua ana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Waswahili walisema kutoa ni moyo, mimi kama Elli napenda sana niwashukuru Wana JF wote kwa ujumla ambao mmekua sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Shukrani hizi zimejengwa kwenye msingi ule...
12 Reactions
79 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF Naomba kujua ni kwanini wanaume wengi wanaogopa sana kuoa mwanamke aliekwisha kuzaa na mwanaume mwngine? A)hofu ya kupigiwa na mwanaume alozaa nae B)Kuhudumia mtoto asie wake...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wanaume wanafanya kazi kwa ajili ya papuchi, hii ina ukweli jamani, Mie naona moja kwa moja naona ni ukweli mtupu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Unakuta unamtu unampenda na kujitahidi kufanya kila anachotaka ili ajisikie vzr lkn yeye hana muda na wewe ukimwambia hiki sikipendi ufanye hakusikilizi ndio kwanza anaendelea na mambo yake Muda...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Imebainika kwamba wanawake wanaojiremba sana usoni kwa rangi za midomo zenye kuonekana sana, na vipodozi vingine vikiwemo vile vya kope za macho, huwatisha wanaume badala ya kuwafurahisha au...
4 Reactions
277 Replies
27K Views
Back
Top Bottom