Zawadi kwa mama

Zawadi kwa mama

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
6,324
Reaction score
2,242
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?

Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?
 
Nadhani chakumpa ni asante , kwani hakuna chenye thamani ya yale aliyonitendea kwakipindi chote mpaka sasa.

Upendo wake hauishi mpaka sasa bado ananijali nakuniombea Mema,
Ama kweli Mama ni Mama afaa kuheshimiwa na kujaliwa kwa hali na mali.

Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?

Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?

mama hana zawadi bora, tofauti na Mpenzi wako ambaye ukimpa zawadi kubwa na shukrani zinakua kubwa zaidi...zawadi kubwa ya mama ni kumpa kile kitakacho moyoni mwako na sio kwa kujipendekeza.!
 
Mie huwa namwaga mavitenge yale ya waxiiii kwa sana tu...zawadi nyingie sijuagi aisee........
 
Mtafutie mavazi mazuri ya Kiafrika..inaweza kuwa vitenge, kanga au magauni..Usisahau kumuachia na mshiko!
 
asante ya mdomo haitoshi kama kweli umejaliwa kipato, kama hana gari mnunulie au muongezee lingine,nyumba nzuri kama bado anaishi kibanda cha mbwa,akaunti yake isome,suti,wax na mengineyo,kama huna kipato jikongoje kutafuta hata wax inatosha.
 
Navyo fahamu mama yangu would appreciate anything, lakini hakuna anacho kifurahia zaidi ya kumtembelea haswa pale akiona vijukuu vyake, unaona yeye ndo anaenda kuvipa chips, Kitkat, sijui Ice cream na mambo mengi tu.

Afu cha ajabu mpaa mda huu nimeoa na nina mke na watoto, anaendelea kunipa pesa na wakati sina shida, mpaa nashangaa.

I want to let the world know that, I am so proud of my mother :A S thumbs_up:
 
Hahaha, wewe utakua mtoto wa Mama tu
 
Hahaha, wewe utakua mtoto wa Mama tu
Hahaha yani we unadhani kupendwa na mama yako lazima uwe mtoto wa mama tu, nadhani hapa hata wife angesoma angecheka sana, kitu usicho kijua ni sawa sawa na usiku wa giza.

Mbona dingi alinipa mahari nikaowe hahaha, mbona huniiti mtoto wa baba.
 
I wish angekuepo dah!
Mtafutie wax, via2, batiki,... But jitahd kuchukua rang anayoipenda.
 
Meeting her expectations. That is the grande gift she ever wanted from me. I played my part. Mom, i hope i am still making you proud. And i loved you ma!
 
Mtafutie mavazi mazuri ya Kiafrika..inaweza kuwa vitenge, kanga au magauni..Usisahau kumuachia na mshiko!

Wazo zuri sana,ingawa sijawahi kumuona anavaa mavazi ya vitenge.
Inabidi kumlazimishia tu he he
 
I wish angekuepo dah!
Mtafutie wax, via2, batiki,... But jitahd kuchukua rang anayoipenda.

Pole sana mkuu,tupo njia moja.
Kuhusu rangi dah,kwakweli mtihani ninao,lazima nijue this time
anapendaga rangi gani.
 
Meeting her expectations. That is the grande gift she ever wanted from me. I played my part. Mom, i hope i am still making you proud. And i loved you ma!

Wow,so nice,...thank you
Am getting a point in every post here.
 
Wazo zuri sana,ingawa sijawahi kumuona anavaa mavazi ya vitenge.
Inabidi kumlazimishia tu he he
kwani swali la msingi lilikuwa wakupendekezee zawadi ya kumpa mama yako!!!!!naona wametoka nje ya mada au mada haijaeleweka!!!
 
Navyo fahamu mama yangu would appreciate anything, lakini hakuna anacho kifurahia zaidi ya kumtembelea haswa pale akiona vijukuu vyake, unaona yeye ndo anaenda kuvipa chips, Kitkat, sijui Ice cream na mambo mengi tu.

Afu cha ajabu mpaa mda huu nimeoa na nina mke na watoto, anaendelea kunipa pesa na wakati sina shida, mpaa nashangaa.

I want to let the world know that, I am so proud of my mother :A S thumbs_up:

He he he,safi sana.
Ni vyema kama aliwekeza sana ili asitegemee kuomba msaada kwa watoto.
Si unajua wazazi wa enzi hizo walikua na mtazamo "Nasomesha ili nisaidiwe"....

Siku hizi ni "nasomesha kutimiza wajibu wangu,akinisaidia sawa,asipo nisaidia bado niko vizuri pia"

Inategemea tu na roho yako kijana.
 
asante ya mdomo haitoshi kama kweli umejaliwa kipato, kama hana gari mnunulie au muongezee lingine,nyumba nzuri kama bado anaishi kibanda cha mbwa,akaunti yake isome,suti,wax na mengineyo,kama huna kipato jikongoje kutafuta hata wax inatosha.

He he,asante sana,nimepata kitu hapa.
Nataka kitu kidogo tu!!
 
Back
Top Bottom