Umapema wa kuoa

Umapema wa kuoa

Msolopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2014
Posts
461
Reaction score
212
Wanajamii,hv kuna matatizo yoyote yanayoweza kumkuta mtu mbeleni especially akioa mapema? Nauliza hivi manake kuna mdogo wangu wa baba mkubwa 17yrs old ameamua kuoa. Is he really matured enough? Afu bint allomchukua it looks like she's older than him. Baada ya kukomaa sana watu wameamua kumpa vimilio kadhaa vya mtaji aanze maisha. Was was wangu ataweza kujilea yeye na huyo mwenza wake?
 
amependa kuanza kugegenda mapema..akichoka ataanza kujutia
 
Akishindwa kujilea si mtampa vimilioni vingine vya kuendeshea familia?

hao wakifikisha 20 yrs of age wanaachana tu.
 
17 years?Bongo?
He is so young na hiyo ndoa ataichoka mapema because they will be growing apart
Huyo lazima atakua maeneo ya kijijini I guess,17 years town angekua ana persue elimu(form four)
 
Safari za kuchepuka zinamsubiri mbeleni nadhan. At that age amewahi sana na hiyo ndoa ina uwezekano mkubwa wa kutodumu
 
Kwa maisha ya sasa na hizi changamoto......amewahi sana kuoa.....
 
17 yrs???hata zama za mawe hawakuwahi hivo jmn
 
Hamna tatizo,inategemea na ukomavu wa akili yake,kama ni mtoto wa chipsi yai hawezi kushinda changamoto za ndoa,
 
Uupsi huu mhemuko wa balehe unamsumbua tu
Nyegeze zikitulia ataachana nae tu
 
Kama wana match, watawashangaza sana, watadumu na upendo utakua. Ni tabia ya maisha kuruhusu urahisi fulani wa mambo kwa wenye nia.
Nampongeza na Kumuombea.
 
Yawezekana wameamua na hawana lengo la kubadilika na pengine wakadumu zaidi ya hofu zenu. Hayo yote ni matarajio!!
 
17 years?Bongo?
He is so young na hiyo ndoa ataichoka mapema because they will be growing apart
Huyo lazima atakua maeneo ya kijijini I guess,17 years town angekua ana persue elimu(form four)

They will be growing apart indeed...ila kuna wanaosema kuwa kufanikiwa kimaisha si kupitia shule pekee. Labda he's matured enough to handle,watu tunazaliwa tofauti. Enzi za babu zetu waliweza...wakati wetu huu majanga.
 
ni kumwomba MUNGU wadumu kwenye mahusiano ...ni kwel ndo hazijatulia siku iz..sio vibaya mkawajenga kisaikolojia .. of course pesa si ndoa hata kama msingewapa hata senti moja bado wangeweza ku sustain maisha. ni kujipanga kimaamuz
 
Ahh ni kipindi cha mpito tu sema ameshindwa kuvumilia,
na hata walezi wake au watu wakaribu wameshindwa kumshauri mtoto jamani???
 
Mimi mwenyewe nlivoambiwa kuhusu uhitaji wake wakuoa nkaona ni ujinga. Nlivompigia majibu alonipa niyakuleteana lawama badae. Anasema hatakuwa salama kungoja kwan magonjwa ni mengi. Sasa mtu akiingia huko inabidi umuache manake yakitokea kama alivosema lawama kwa wengine kwa kumkataza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom