I need to know

I need to know

mirymicaiah605

Senior Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
107
Reaction score
17
JF Eti is it true kuwa bed expertism na miuno ya kutosha ndio inafanya,watu wa last long kwenye mahusiano maana huku mtaani watu wanadai hawawezi kuwa na,watu wasiochakarika kwa bed!!!!kuna ukweli hapa kwamba mpaka ukatikiwe???
 
Kama ni hivyo then ungekuta Tanzania hii ndoa iko yangu na moja nyingine, kwa jinsi watu wanavyochepuka!

 
Kama ndiyo hvyo makabila fulani hapa tanzania yasingepata wapenzi......
 
Ukienda Jando au Unyago utapewa majibu...

JF Eti is it true kuwa bed expertism na miuno ya kutosha ndio inafanya,watu wa last long kwenye mahusiano maana huku mtaani watu wanadai hawawezi kuwa na,watu wasiochakarika kwa bed!!!!kuna ukweli hapa kwamba mpaka ukatikiwe???
 
JF Eti is it true kuwa bed expertism na miuno ya kutosha ndio inafanya,watu wa last long kwenye mahusiano maana huku mtaani watu wanadai hawawezi kuwa na,watu wasiochakarika kwa bed!!!!kuna ukweli hapa kwamba mpaka ukatikiwe???

sio kweli hizo ni story za vijiweni tuu
 
madancer wa bendi tofauti bongo wangekua na ndoa nzuri na za kudumu....
 
Ni maneno tu yakunogesha stori...wanaume hao hao wanakuwa na watu wa kawaida kitandani na wala hawa-complaint..
 
Hiyo siyo jumla yote. Kudumu katika mahusiano kunajumuisha mambo mengi zaidi
 
tatizo watu wanadhan ndoa ni ngono tu. Sijui haya mawazo yatatokaje kwenye akili za vijana
 
Ndoa ni zaid ya ngono....kuna vitu ving vnavyodumisha ndoa
 
Nataka sababu 3 zilizokufanya uone JF ndio mahala salama pa kupata jibu laswali lako

Maana hata hawa wanaokujibu hapa ni wanamtaa pia!
 
mirymicaiah605, huyo atakuwa ni sex partner na sio mke/mume, cause ndoa ni zaidi ya sex.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom