Nimetokea kukupenda Sana

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
1,132
1,195
Ewe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na sasa hivi nimekuwa kero kwako hutaki kabisa kuongea na mimi.Mrembo--------ina maana wewe unachukia kupendwa? Kwa nini unanifanyia hivi? mbona unanifanyia mbona mwanzoni tulikuwa tunazungumza vizuri tu kwa kipindi hiki unanifanyia hivi sio vizuri hivyo mimi nakupenda ,nakufuatilia ,nakufikiria lakini nakushangaa mwenzangu kama vile huna mpango na mimi kuwa na huruma basi nifikiriefikirie basi ewe mrembo----- kama mimi navyo kufikiria hakika mimi nakupenda naomba na wewe unipende kama kunasehemu nilikuuzi nisamehe kwa kweli ------ nakupenda sana.Nimesita hata kukutaja nisije nikazidi kukuuzi zaidi ukani report abuse nikapigwa banned .LAKINI NAAMINI UJUMBE WANGU UTAKUWA UMEUPATA .naomba tusameheane na tuuboreshe uhusiano wetu.Nakutakia jioni njema-------
 
Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,145
2,000
Ni ajali tu imetokea kwa bahati mbaya kati yangu na mrembo------ Mwanzoni tulikuwa tunazungumza naye vizuri nikiamini tutafika naye mbali lakini ghafla kanigeuka.

we komaa nae kama uko serious inawezekana keshaona na we mwenyewe husomeki
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,815
2,000
Dah kama hapo hajakuelewa basi ana moyo wenye kutu maana umenung'unika,plz----------- muonee huruma kijana
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,799
2,000
Ewe ------- uvumilivu umenisha nimeamua kukuambia wazi kabisa ya kwamba ninakupenda.Muda mwingi nimekuwa nakufuatilia nakufanya mambo mbalimbali ili uniweke moyoni mwako lakini sijafanikiwa .Na sasa hivi nimekuwa kero kwako hutaki kabisa kuongea na mimi.Mrembo--------ina maana wewe unachukia kupendwa? Kwa nini unanifanyia hivi? mbona unanifanyia mbona mwanzoni tulikuwa tunazungumza vizuri tu kwa kipindi hiki unanifanyia hivi sio vizuri hivyo mimi nakupenda ,nakufuatilia ,nakufikiria lakini nakushangaa mwenzangu kama vile huna mpango na mimi kuwa na huruma basi nifikiriefikirie basi ewe mrembo----- kama mimi navyo kufikiria hakika mimi nakupenda naomba na wewe unipende kama kunasehemu nilikuuzi nisamehe kwa kweli ------ nakupenda sana.Nimesita hata kukutaja nisije nikazidi kukuuzi zaidi ukani report abuse nikapigwa banned .LAKINI NAAMINI UJUMBE WANGU UTAKUWA UMEUPATA .naomba tusameheane na tuuboreshe uhusiano wetu.Nakutakia jioni njema-------
hahaha Aiseeee
Mkuu sasa hii njia unafikiri hitasidia hata kidogo?
Sasa utasaidiwa vipi?
Mkuu kama ni akanana wangu unaye muongelea hapa na kuhakishia utapotea kwenye hili jukwaa!life ban ina kuhusu

Kama ni yeye na kushauri ufute huu uzi!

Kila la kheri!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom