Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndugu wana Jamii Forum, nimefiwa na kaka yangu tarehe 4/08/2014 siku ya Jumatatu, tulizika tarehe 6/08/2014 siku ya Jumatano Ifakara. Kwa ajili ya majonzi makubwa nilishindwa kuwapa taarifa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari za wakati huu. Nianze kwa kusema binadamu tumeumbwa tofauti. Kila mtu ana vitu anavyovipenda na vitu asivyovipenda. Inawezekana ana sababu za kijamii/kiafya/kiimani au bas tu amejikuta...
15 Reactions
153 Replies
9K Views
Hivi umu JF,kila mtu utaskia natafuta mchumba awe na digrii,diploma,form six,mara ooh at least form four sasa sie tuliokosa elimu tueleweje? mnatutenga au vp? je mapenzi ya kweli yapo ktk...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je unadhani wewe ni mwanaume mzuri kitandani? Hapa kuna maswali kwa ajili yako. Je ni mara nyingi mke wako huwa anakuhitaji kwa ajili ya tendo la ndoa? Je, kila unapofanya mapenzi yeye hufika...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
WanaJF msaidieni binti huyu kwa mawazo yenu. Mzazi mwenzake hataki kumtunza mtoto. Waliachana baada ya kutoelewana lakin wakakubaliana kumlea mtoto. Ni mwaka sasa baba hatoi chochote...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Tunaowa ili tujenge familia sasa nimeona kwa hali ilivyo sasa hivi kuna vitu lazima Me tutumie mbinu mbadala tuepuke kuchukiana,kuuwana,kufitiniana n.k. Dawa sasa hivi ni kuowa wanawake wenye...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
mambo vipi wadau? leo ngoja tubonge kuhusu michepuko japokuwa sio dili.... watu wanasema Mchepuko wako ndo mke/mme wa mwenzako na kinyume chake Mke/mme wako ndo mchepuko wa mwenzako. so hapo ulipo...
0 Reactions
38 Replies
49K Views
Mwenzenu mie JF, kula JF kulala JF yaani kila kitu JF love you JF
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii tabia yenu wadada mnatupa uvivu hata wa kuoa jamani. Yaani unakuta mtu anakupa huduma zote, full kukupikia, anakuja weekend kukufulia. Papuchi ndo usiseme ukikohoa tu kishachojoa viwalo na...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Anyeonghaseyooooooooooooooooo!!!!!! Raisi wetu wa awamu ya tatu His excellency Ndugu Benjamin William Mkapa alitutaka wananchi kutokuingojea serikali na kujiletea maendeleo wenyewe. Alipenda sana...
37 Reactions
209 Replies
15K Views
Kuna kijana nampenda na anajua hilo na yeye anadai ananipenda ila hawezi kuwa kuwa distant relationship which means hawezi kuwa nami. Cha ajabu ni kwamba mara kwa mara huniita mama Lily (not...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Wewe ni Mwanamke mnene ni pm tupange maisha..Nyanda za juu kusini Mbeya, Katavi, Rukwa.watapewa kipaumbele.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nikijan mwenye umr wa miaka 24 natafuta msichana mwenye mapenz ya kweli Niko dar
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Woman tracks down the mother who abandoned her as a baby... only to realise she has unwittingly married her BROTHER Adriana, 39, and husband Leandro, 37, both abandoned as infants in Brazil...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bado natafuta mwanaume mwenye vigezo ajitokeze
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenzenu mie ni JF tu kula JF kulala JF yaani kila kitu JF love you JF
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Condom' zaagizwa kwa Simu Uganda Huenda uliwahi kupata huduma ya taxi au kuletewa chakula popote ulipo kwa kupiga tu simu, lakini je utanyanyua simu kwa kutaka huduma ya condom...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wote, nina miaka 33 nina watoto wawili wakike, nina elimu ya diploma nategemea kujiunga na degree, nitafuta mchumba ambeye baadaye atakuwa mume, kama nitapata aliyeokoka nitashukuru...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Tafadhali sana natafuta marafiki wa kuchat nao
0 Reactions
20 Replies
9K Views
mnachofanya mnajadili athari za kutojua mapenzi na madhara yake kwa ujumla uzinzi na ngono please change mnapotea kuweni positive please
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom