Kwanza inaelekea kuna vijiashiria fulani ushaanza kumuonyesha mwenzio (mkeo) vya kuwa na wanawake au mwanamke
Pili kumbuka wanawake wanawivu automatically km mwanamke anakupenda, mwanaume akiondoka huwa nafsini anakuwa na wivu unatakiwa uvumilivu, pili mpe jibu lakumridhisha mkeo kuwa Romantic ktk majibu yako wala hatokuambia hivyo tena siku nyingine.
Tatu pengine humuweke wazi kwa nini unachokifanya huko ye anakuona unasafiri, unarudi, mara safari za kushtukiza so yapelekea yeye kuhisi kuwa unamwingine..
Wanaume wengine kubembeleza, kujibu kauli hamjui ndio maana...Mwanamke huwa ni mwenye kupenda na anawivu akipenda...
Badilikeni kuweni na lugha za MAHABAA ....Mjibu..mke wangu we ndio wangu mi ni wako daima sina mwingine wala sioni anayefanana na wewe kipenzi changu..Naenda kutafuta tupate chakula cha watoto...Utaona na yeye tabasamu atalitoa...Pengine we hapo sijui ulimjibu nini SIPATI PICHA