Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Hii imekaaje?
Kuna mdada wa kaskazini alinizimia sana na akataka nimuoe.
Sasa mie nikamwambia sina mahaba nae, ye akakazana.
Akawa ananiletea zawadi nyingi tu!
Nilijitahidi kukataa akawa anang'ang'ania nichukue.
Sasa siku moja nikamtolea uvivu nikamwambia simtaki kabisaaa! Hapo akadai nimrudishie kila kitu.
Nilirudisha ila baada ya muda karudi tena na tena.
Japo nina mke ila kanikomalia kweli.
Najitahidi kumkwepa ila keshaapa mpaka anipate.
Wewe unanishauri nifanyeje.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums