Empty Sms na maana yake katika uhusiano

Empty Sms na maana yake katika uhusiano

DR. LOVE

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
151
Reaction score
71
Mara nyingi 'Empty sms' siyo empty.

Unaweza kufikiri kirahisi kabisa kuwa aliyetuma kakosea (though sometimes it happens), ila inapojirudia usipuuze, chukua hatua na chunguza kwa makini.

In the recent past, nimekutana na clients kadhaa who sought professional advice in one of the Family, Love and Loving People Relationship Consulting Agency which I'm associated, wakitaka kusaidiwa namna ya kurudisha trust iliyopotea kutokana na kukuta mara kwa mara empty sms' (ujumbe mfupi wa simu usio na maneno) katika simu za wapenzi, mume/mke.

Na walipojaribu kuwauliza wenzi wao, migogoro mizito ya kiuhusiano uliibuka (of course, partly due to defense mechanisms).

Client mmoja, anashuhudia kuwa, alipokuta empty sms, aliamua kujibu (reply) kwa empty sms na ndipo ukweli ulipo thihiri, kilicho fuata aliendelea kujibu sms zenye maneno accordingly kana kwamba yeye ndiye muhusika mwenye simu.

Kwa ufupi, aligundua kuwa empty sms ilikuwa ni zaidi ya empty. kama sehemu ya reconciliation baina yao, experience suggest that wote waliotuhumiwa walikiri kuwa, 'empty sms' ni zaidi ya empty na kwamba ni aina ya non-verbal communication baina yao na michepuko (hasa kwa wale wenye malengo maalumu) bila ya kusababisha tafrani pindi sms hiyo itakapo onwa na wenzi wao.

Nini uzoefu wako katika hili? Unadhani kupitia experience ya clients hawa umejifunza kitu kinachoweza kukusaidia katika uhusiano wako?
NB: Andiko hili halijakusudia kuharibu mbinu za mawasiliano baina ya watu wapendanao, japo ni muhimu kuchukua tahadhari.

Good luck.
 
exactly empty sms means alot,kuna mmoja ali save mchepuko battery low
 
Dah.. Watu wabunifu laaaaanaaa.. Hiyo nimeikubali,,, yaani no one get hurt
 
Mungu pitisha mbali my wife wangu asisome hii thread...

Mleta mada unataka kutuvunjia ndoa zetu? Ila kwa sasa tunatumia njia mpya na kiboko zaidi. siiweki hapa kwa mustakabali wa ndoa yangu.
 
Hii simu yangu sijui vipi!!!? Haikubali kituma empty sms !! Duh! Inanibania waziwazi kujifunza mambo ya michepuko!
Asante my katelefoni nisije chepuka nikachepukiwa bure!!
 
Mungu pitisha mbali my wife wangu asisome hii thread...

Mleta mada unataka kutuvunjia ndoa zetu? Ila kwa sasa tunatumia njia mpya na kiboko zaidi. siiweki hapa kwa mustakabali wa ndoa yangu.

No please, the intent of the thread were two-fold, one to share the work experience and second show that there is a sense of great urgency for us to act and change the way we think and practice in relationships -trust me this was the motivation!
 
Mungu pitisha mbali my wife wangu asisome hii thread...

Mleta mada unataka kutuvunjia ndoa zetu? Ila kwa sasa tunatumia njia mpya na kiboko zaidi. siiweki hapa kwa mustakabali wa ndoa yangu.

weka hapa acha uchoyo nasi tupate mbinu za kuwakamata
 
Duh watu ni creative balaa,hii michepuko itaja isha lini hii!
 
Na smileys pia, usisahau. Yaani kinatumwa kijicho tu kinachungulia. Ujumbe mrefu kama gazeti huo.

Asaalam aleikum wachepukaji wote, na wachepukiwaji wote. Zaeni matunda mema.
 
Mungu pitisha mbali my wife wangu asisome hii thread...

Mleta mada unataka kutuvunjia ndoa zetu? Ila kwa sasa tunatumia njia mpya na kiboko zaidi. siiweki hapa kwa mustakabali wa ndoa yangu.

Sema bwana...
 
Ckujua kama kuna mbinu hii... Wengine hawa-isave number ili ikipiga then partner akiiona anapokea then anajifanya umekosea number but kimsingi upande wa pili unakuwa umetoa ujumbe unaotakiwa kufika kwa muda ule...
Utasikia,'Wrong number'..
 
Back
Top Bottom