Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
Unapotokea kumpenda mtu fulani,pambana kuhakikisha unampata kwasababu ukimkosa maisha yako yanaweza kuwa gizani.
Ila pale utakapoona uwezekano wa kuwa naye haupo,usilazimishe ndugu yangu.Kumbuka haya ni maisha tu na utampata mwingine anaekupenda kwa dhati