Condom zaagizwa kwa simu Uganda

Condom zaagizwa kwa simu Uganda

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Condom' zaagizwa kwa Simu Uganda
10570440_832075010144499_6896453503765322060_n.jpg


Huenda uliwahi kupata huduma ya taxi au kuletewa chakula popote ulipo kwa kupiga tu simu, lakini je utanyanyua simu kwa kutaka huduma ya condom?
Kundi la wafamasia nchini Uganda wameibuka na ubunifu wa kipekee wa kupata huduma ya condomu kwa kupiga tu simu.
Huduma hiyo inaitwa DIAL A CONDOM...yaani unapiga simu tu na kuaguza Condom.

Na hutoa nambari za simu ambazo wateja huweza kupiga, kwa ahadi kuwa watapelekewa aina yoyote ya condom katika kipindi cha dakika 15 au chini ya hapo.
 
Wenzetu wamejitahidi hata kitakwim japo ukimwi ulianzia kwao kwa sasa wameweza kubadilika kwa iyo sio ajabu huduma kama hiyo kwao.nawafagilia maambikizi yanaisha siku hadi siku.
 
Wenzetu wamejitahidi hata kitakwim japo ukimwi ulianzia kwao kwa sasa wameweza kubadilika kwa iyo sio ajabu huduma kama hiyo kwao.nawafagilia maambikizi yanaisha siku hadi siku.

walipata funzo sana kwa maambuzi yale
 
Sijui miundombinu ya wenzetu ilivyo lakini kwa foleni za dar hilo jambo kuwezekana ni muujiza.
 
Hivi zile ATM za dawa za penzi bado zinafanyakazi
 
Na sie tungeletewa hii huduma jameni,
mi huwa napata tabu sana kununua ndom yani naweza vizia dukani hata nusu saa.....
 
Back
Top Bottom