Ananichanganya simuelewi, naomba ushauri

Ananichanganya simuelewi, naomba ushauri

shining star

Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
28
Reaction score
56
Kuna kijana nampenda na anajua hilo na yeye anadai ananipenda ila hawezi kuwa kuwa distant relationship which means hawezi kuwa nami.

Cha ajabu ni kwamba mara kwa mara huniita mama Lily (not real name) Lily likiwa ni jina la mtoto wake aliyezaa na mwanamke mwingine ambae anasema hawezi kumuoa kwa sababu wanazozijua wao.

Tatizo ni kwamba kuniita hvyo ananifanya nijisikie kama sehemu ya maisha yake na husema ananipenda pia, what is keeping him from being with me? distance?really?

Naogopa kuwa na false hope na kumsubiri nikajikuta nakuwa single at 30 lol

Ushauri please
 
Kabla ya yote jiulize huyo mama lily original yuko wapi.
 
kwanini usimuulize ili ujue moja? ss huku hatujui kilicho moyoni mwake!!
 
mmh, mwenzio nshazeeka. Unakutana na complete stranger anaanza kukuita my pineapple sijui big g! Mara siku mbili anaanza kukuambia nakupenda sijakufa nikaoza bila wewe sijui nini!

wooi. kueni mjionee maghorofa na mengineyo
Eeeh mwenzako nikiitwa tu "my wife" nasisimka na kutetemeka hahahahaha, we are still young lol
 
Mama lily yupo ila anadai hawezi kuoa kwa sababu flan ambazo alinipa. Kumlea lily sio tatizo kwangu kabsaa...
Issue sio kuitwa mama lily tu ila msgs like 'me n liky love u mom, we miss u mom na i love you kibao! Na mambo yanaishia hapo! Sielewi yaani
 
i wish i was still young.
Yaani kuitwa tu mama lily ndo mihemko, na keshakuambia hawezi kuwa na distance relationshipi!:wacko::wacko:

Yaani wanawake mna mambo sana...

No wonder zamani ili kumpata msichana wa kumdinya ilibidi umsifiiiiiieeee weeeee...

Aisee jioni lazima akupe kitumbua pagalani!!!
 
Ushawahi kudinywa na huyo bwana?

Maana mara nyingi mdinyo huwa unaleta breini konkasheni kwenye medulla za wadada...

Mama lily yupo ila anadai hawezi kuoa kwa sababu flan ambazo alinipa. Kumlea lily sio tatizo kwangu kabsaa...
Issue sio kuitwa mama lily tu ila msgs like 'me n liky love u mom, we miss u mom na i love you kibao! Na mambo yanaishia hapo! Sielewi yaani
 
my dear najua umri huo kwa msichana ndo huwa tunahaha kuwa na watu wakujenga nao future, ila usipokuwa makini future hutakaa uione zaidi ya kuchezewa tu, huyo wala hana mapenzi na wewe mpendwa, yani ukishasikia mwanaume anakwambia nakupenda lakini siwezi kuwa na wewe sababu ya hivi na vile, juwa hapo mapenzi hakuna na usilazimishe itakula kwako, sana sana hapo nnachokiona mwenzio anacheza tu na akili yako ila mwisho wa yote utakuja kusikia kaolewa mamal lily original
 
point taken
 
Back
Top Bottom