Michepuko

Michepuko

Chris41

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
625
Reaction score
409
mambo vipi wadau?
leo ngoja tubonge kuhusu michepuko japokuwa sio dili....
watu wanasema Mchepuko wako ndo mke/mme wa mwenzako na kinyume chake Mke/mme wako ndo mchepuko wa mwenzako.
so hapo ulipo amini kwamba unavyofanya kwa mchepuko ndo mke/mme wako anavyofanyiwa.
mambo mengi sana yanafanyika kwnye michepuko kuliko kwnye ndoa ikiwemo kutumia mtandao pendwa 0713.
yaan utakuta jamaa anakula tigo kwa mchepuko lakn akirudi kwa mke heshima yakutosha kumbe mke wake nae analiwa tigo nje na anaogopa kumwambia mme wake ale tigo.
ila inatokea sometimes mwanamke akijua mme wake anachepuka 7bu ya mtandao pendwa bas na yy ataanza kumpa ili mme asichepuke tena.....

hiv unadhani kwann hii situation ipo ivi?
je michepuko ina umuhimu? ni dili au sio dili?
 
mi naona ili suala la michepuko liingizwe kwenye katiba ili lihalalishwe kabisa. pia hili neno mchepuko liingizwe kwenye kamusi ya kiswahili kwani limesaidia kukuza lugha.
 
Hahahaha kuna sister duu mmoja ivii anafukunyuliwa 0713 kisa mpenzi wake asije muacha.
Dah I can't risk my life like that. Bora uchepuke tu ila ogopa maradhi
 
me nimegundua hili neno michepuko ndo limefanya watu kuzidisha michepuko.....
sikuiz mtu anakuuliza kbsa, et mimi mchepuko au njia kuu.... hahahahaa jibu utakalo mpa anakubali kwa moyo mmoja.....
 
Hahahaha kuna sister duu mmoja ivii anafukunyuliwa 0713 kisa mpenzi wake asije muacha.
Dah I can't risk my life like that. Bora uchepuke tu ila ogopa maradhi

ndo ilivo sikuizi yaaan watu wanatumia sana mtandao pendwa... na amin usiamini wanaume wanaopewa 0659 hawachepuki
 
nani kasema ?? hata mtu apewe kitu gani akiamua kuchepuka anachepuka tu yaani bora ihalalishwe tu
 
hiyo kwel mkuu, ila inapunguza michepuko... ukipata huduma zote njia kuu
 
Hahahaha kuna sister duu mmoja ivii anafukunyuliwa 0713 kisa mpenzi wake asije muacha.
Dah I can't risk my life like that. Bora uchepuke tu ila ogopa maradhi

hujapenda wewe... subiri akitaka kuchepuka, utarudi unabembeleza mwenyewe ale tgo
 
Iwe ni kwa sababu ya 0713 au sababu nyingine yoyote kwa mila za kiafrika kuchepuka ni kawaida tu ndo mana hata asili yetu ni kuoa mitara, tunalazimishwa tu kufuata tamaduni ambazo sio zetu. eti baki njia kuu nani kasema? Hujawai kusikia msemo wa kiswahili kitanda hakizai haramu? Unafikiri hiyo maana yake nini kama sio kuhalalisha michepuko. Tuwe serious wajameni mambo mengine hayaepukiki, stress za nini?
 
hiyo kwel mkuu, ila inapunguza michepuko... ukipata huduma zote njia kuu

sio kila anayechepuka kafuata mtandao wengine ni fahari yao tu kula nyama nyingi
 
Asee kwangu mimi ngumu kumeza akachepuke tu ila siwezi kufanya uhanisi huo, kisa cha kutoa hewa wakati wakujifungu nini waambiwa push unatoa mihewa tu, tena pepo huyo anipitilie mbali kabisa!!
hiyo kwel mkuu, ila inapunguza michepuko... ukipata huduma zote njia kuu
 
Asee kwangu mimi ngumu kumeza akachepuke tu ila siwezi kufanya uhanisi huo, kisa cha kutoa hewa wakati wakujifungu nini waambiwa push unatoa mihewa tu, tena pepo huyo anipitilie mbali kabisa!!

we unazani wenzio wanapenda kugawa hiyo kitu, kweli hayajakukuta ww....
 
hujapenda wewe... subiri akitaka kuchepuka, utarudi unabembeleza mwenyewe ale tgo

M'Mungu hajapaumba vipite vitu vigumu mfano wa 'kiungo cha uzazi wa mwanaume' and the like. Ndo maana panaleta madhara makubwa pakitumika visivyo.... Kujitoa ufahamu tu. Binafsi nikishajua kwa uthibitisho..ndo tushaachana,no discussion!
 
Bora utoe hewa unaweza kumtolea mtoto njia kubwa ukasababisha kifo kwa mtt ni u.p.u.mbavu mijanamke inayofanya hivyo imelaaniwa yooote na naichukia kuliko maelezo alafu cha kushangaza yanatoa tigo na vibuti yanapigwa huwa hakuna muendelezo hapo mwanaume akishapata iyo tigo anasema anamuona uyo dem ni kicheche na kweli watoa tigo wote ni vicheche fyuuuuuuuùuuuuuuu
Asee kwangu mimi ngumu kumeza akachepuke tu ila siwezi kufanya uhanisi huo, kisa cha kutoa hewa wakati wakujifungu nini waambiwa push unatoa mihewa tu, tena pepo huyo anipitilie mbali kabisa!!
 
M'Mungu hajapaumba vipite vitu vigumu mfano wa 'kiungo cha uzazi wa mwanaume' and the like. Ndo maana panaleta madhara makubwa pakitumika visivyo.... Kujitoa ufahamu tu. Binafsi nikishajua kwa uthibitisho..ndo tushaachana,no discussion!

kile kiungo sio kigumu in such, kwanza hakina ata mfupa lol!!! ni nyama tu zile.... mwanzo mgumu ukizoea utaona kawaida
 
Back
Top Bottom