Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
Mwenzenu mie JF,
kula JF
kulala JF
yaani kila kitu JF
love you JF
kula JF
kulala JF
yaani kila kitu JF
love you JF
Nikajua na wewe ushajipatia mbebs wa ukweli
Unawaza mabebs tu ...hem kuja unishushie net
Hahaha boss na wewe ngebe zimekuzidi, siji na kazi siachi