lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Anyeonghaseyooooooooooooooooo!!!!!!
Raisi wetu wa awamu ya tatu His excellency Ndugu Benjamin William Mkapa alitutaka wananchi kutokuingojea serikali na kujiletea maendeleo wenyewe. Alipenda sana kutumia msemo wa MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE! Na mimi leo napenda kuwakumbusha wito wa Raisi wetu wa awamu ile.
MMU mnaniboa mno mno kwa falsafa yenu ya 1920's iliyojaa u-communist usio na tija kwa kuwataka watu waridhike na umasikini, waohope kuwaza mambo makubwa, waogope ku dare to try, wakubali bitter fate zao kubakia insignificant. In the name of being humble, having a sense of humor, dignity, and all other illusions to make you feel good about your inaccomplishment, your failure, your state of giving up.
Times have changed, Socialist era is over, communism was inefficient ndo maana ulijiua wenyewe, we live in a Capitalist world where more is preferred to less. EVERY BODY FOR HIMSELF AND GOD FOR US ALL. We are living the time where failure is failure and can afford to be given another name.
Naelewa kwa nini watu wamekuwa waoga hata kuota au kujaribu kitu. Hata ukiwaza mbali kidogo tu unaonekana mwehu! The society has never been kind enough! Watu watakukatisha tamaa asilimia 99 ili ubaki kama wao. Uende wapi? Sasa tunajenga kizazi kilichoganda! Vijana ndo chachu ya mabadiliko karne zote ila hapa bongo vijana wapo wapo. Hawana ndoto, malengo wala chochote.
Mtu uki dream big kosa, ukiona the bigger picture tabu, unaonekana unapambana na upepo. Jamii imeshupalia kukwambia tangia mdogo kwamba you are nothing, and there is nothing you can do anyway bora tu ukubali kuwa nothing usijichoshe, manake hata ukijitutumua hatma yake utabakia nothing yule yule mwenye hasara. Yatisha hii hali si kidogo. Na ukiwa mwepesi basi unajikatia tamaa tu. Ufanyaje sasa? Ukisoma kazi hamna, zilizopo bora mkono uende kinywani, ukianzisha biashara mtaji unakata, ukiolewa mwanaume kapuku, akiwa hela ana ukimwi, inaitwa NO WAY OUT SCENARIO,! Ndo maana huku uswazi tunaishia kupigana Free P kwenye mechi za mchangani na kuzaana basi. NDO FATE YETU TENA HIYO TUFANYE VIPI.? We have long forgotten about living we are just surviving. Kesho hatujui itakuwaje.
Ukishakubaliana nao kwishaaaa. Ndo unaishi kungojea mwisho wa mwezi mpaka unazeeka. I SAY BULL SHIT! Vijana tusikubaliiii! DREAM BIG! Haikugharimu chochote ku dream big! Always yearn to fit in the bigger picture. Weka malengo yako 10yrs plan, 20yrs plan kwamba ifikapo huo mda uwe stage flani. Ukiwa na direction utakaba juu chini kufika. Kila utachofanya utakuwa unajua unaenda wapi. Hautakuwa an iddle mind. Hata ukipata hela hiz ndogo ndogo tayari zipo kwenye plan hutozichezea.
COMITTMENT, GOALS, AMBITION, DETERMINATION NA PERSVERENCE IS THE NAME OF THE NEW GAME. Panga malengo kuwa COMMITED WITH YOU LIFE kwenye hayo malengo. No matter what you should not give up kwenye hayo malengo. The ealier the better. Ukiajiriwa mhasibu, day 1 ofisini jiapize kwa biblia "LAZIMA NIWE CHIEF OF FINANCE HUMU IN 10YRS NO MATTER WHAT, NIKISHINDWA NA KUJIFAIL MWENYEWE MUNGU USINIPE TENA KAZI KOKOTE, MUNGU NISAIDIE! "
Hii ndio levo ya comittment ninayoiongelea; unachoma madaraja yote ya kurudi nyuma! Trust me ACCA, CFA, CPA utazipata kama maji, ukikumbuka umejiapiza hutodhubutu kujipa luxury ya kufeli. Hata biashara unajiapiza "MUNGU NIKIUA HII BIASHARA USINIPE TENA MTAJI WA BIASHARA YOYOTE! Biashara haitokufa manake iko COMMITED NA FUTURE YAKO! Uchumi wa China umejengwa hivi, ukianzisha biashara ikifa au ikifeli UNAJIUA MWENYEWE PASIPO KUSIMAMIWA! Failure haikuwa tolerated na mambo yalisonga. Inatakiwa ifikie mahala uki graduate unaweka malengo makubwa, makali, kuwa ifikapo mwaka flani kama hujawa mtu mwenye nyadhfa flani unarudi kijijini kulima na kulewa pombe baaas! Manake umejifelishaaaa! Hutofanya uzembe.
I aint sayin itakuwa rahisi, utafanikisha mara moja, it will be harder than your worst imigination but have to stay focused! Kadri unavopiga hatua mikwazo mikubwa mikubwa itaibuka but remember STAY FOCUSED! Hadaa pia zitatokea kukutaka ujirelax, urizike na huto tu hatua ulitopiga, STAY FOCUSED AND COMMITTED.
Kuna ile hulka ya kujiona mimi mtu mdogo sanaa, mtoto wa mkulima nitafanyaje wakati fate yangu ndo hivo tena ni Unkind! Nitawesa kweli au natafuta pressure tu na kisukari! Napenda kukumbusha UKIAMUA UNAWEZA! Mambo mengi makubwa duniani yamefanywa na watu wadogo mno mno! Hata mtu akikudharau huwezi kuachieve chochote kumbuka Mende kaangusha kabati mara nyingi mno kwenye historia za dunia. UKIAMUA, UKAJICOMMIT NA MAISHA YAKO, IKAWA EITHER UFANIKISHE HIKO AU NO WAY OUT UTAFANIKISHA! Wachache ni hawa ambao mimi wananipa nguvu mnoo at times.
Mheshimiwa Rashid Mfaume Kwawa Waziri Mkuu Mstaafu Alitokea Lindi, alikuja mjini na begi languo, hakusoma sanaa, alikuwa dreva tax posta. Huyu na madreva tax wenzie they saw a bigger picture ya INDEPENDENT TANGANYIKA! Imagine by 1950 wabongo kibao walikuwa washoenda nje kwenye vita vya dunia, wengine kusoma ila walijibweteka tu. Hawa watu wadogo, wasio na elimu, wasio watoto wa machief, waganga njaa wa Posta ndo walio DARE TO DREAM AND SEE THE BIGGER PICTURE! Na waliji-commit na maisha yao, kuanzisha harakati za kumshika Simba sharubu si kwa manufaa yao bali walistick their necks on the line kuwakomboa wotee na wale waliokuwa wanakula bata common wealth. Wengi waliuawa, ila waliobaki wakarudi on the line kuendeleza harakati ili waliokufa wapumzike kwa amani wasione wamekufa bure. Wakauwawa zaidi na zaidi na wakapambana zaidi na zaid. Like i said Late Kawaww was a man of BIGGER VISION, BIGGER PICTURE, akaona TIMES HAVE CHANGED, wao hawajasoma, wana will to fight ila hawana strategy, hawana exposure hawana ability ya kupambana level za juu. Ndo wakaanza kurecruit WASOMI kila Late.
Mwalimu na wengi walikubali since waliahidiwa nafasi kwenye hio GREENER FUTURE! Commbination ya Wasomi na Wanamapinduzi was Epitome! In the end japo hakuwa msomi sanaa Late Rashid Kawawa had an happy ending, alishika nafasi kubwa kubwa nchini, alienda nchi mbali mbali, na liongoza wasomi wa common wealth. HE COULD HAVE DIED A POOR TAX DRIVER BUT HE DARED THE DEVIL, CHALLANGED HIS FATE AND MADE A LIFE FOR HIMSELF FROM NOTHING TANTALILA TU ALIZOKUWA ANAPIGA ZA UKOMBOZI.
Je, wewe kijana si Msomi kuliko Late Rashid alivokuwa umri wako, je huna hela nyingi bank kumzidi alivokuwa umri wako? Hauko exposed kumzidi wakati ule THEN WHAT ARE YOU WAITING FOR.? GOD TO COME DOWN AND RESCUE YOU? GET RICH OR DIE TRYING!