Habari wana jf
Nimekuwa nikisoma thread za watu na wanavoshauliwa nahisi nami ntashauliwa kuondoa huu mzigo unaonimaliza kila kukucha
Nimependa nisipopendwa
Ni hiv mwaka 2009 nilipata kazi...
MAMBO 5 UTAKAYO KUTANA NAYO KATIKA SAFARI YA KUKAMILISHA NDOTO ZAKO:
Naamini mmeamka salama wanaJF:
1. Utapitia wakati mgumu.
Utatoka katika eneo lako la Faraja (Comfort zone). Lakini baadaye...
Nadhani sababu kuu ni w/wake (wake zetu) utakuta baada ya kuolewa anasahau kabisa wajibu wake tofauti na enzi za uchumba utakuta mtu anakupa mzigo kama hataki vile hata hatoi ushirikiano (hii...
Hii kitu nimeiona sana hapa Bongo, ukiwa Mzuri yaani una muonekano wa Mvuto basi wewe Maisha yako yanakuwa yamerahisishwa kwa kasi kikubwa sana.
Kuanzia kupewa kiti kwenye daladala kila Mtu...
Salam
Alikuwa ni binti mrembo,sikuwa na uhusianonae,sijui tulipendana au tulitamaniana,mi sijui.
Kwa bahati nzuri ikatokea tunasafiri pamoja toka tabora.
Tulikata tiketi na tukapata siti za...
Habar wana JF,
Simuliwa omba yasikukute, nina mpenzi wangu ambaye natarajia kufunga ndoa mwaka kesho kutwa, ila kuna tatizo ambalo linanisumbua sana, hashiki mimba huu ni mwaka wa tatu sasa...
Nimekaa mikoa mingi sana hapa Bongo lakini sijaona eneo ambalo wanafunzi wanaomba hela kama DAR.
Utasikia shikamoo, ukijibu tu, anakwambia ''naomba unisaidie sh.500'' au kama umepanda nae...
Mambo vipi wana MMU.
Kuna maneno fulani huwa yananikera hasa pale ninapo mtongoza msichana.
Basi anaponiambia huwa nakosa hata jibu but inabidi nipige sound tu nakurudisha kumbukumbu alimradi...
Eti mwanaume mzima kabisa unachukua mizigo yako unahamia kwa mpenzi/mkeo unaenda kuishi huko na siku mkikosana unachukua nguo zako unasepa, wanaume wanazidi kupungua na kubaki wakiume huwa...
Habarini, mm ni kijana wa umri wa miaka 28 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 22 hadi 26.awe mkristo mchamungu kazi sio lazima ,mwelewa(Understanding),anajitambua (Selfdetermination)...
Mimi ni mdada mwajiriwa wa serikali.Nilitokea kuwa na mahisiano na mwanaume mmoja ambae hajaajiriwa na yupo chuo kikuu flani cha afya jijini Mwanza,alinitambulisha kwa baadhi ya ndugu zake akiwepo...
Wakuu mimi nina kitu kinanisumbua sana.hivi ni kwanini mtu akimfumania mkewe au girlfriend wake.ni fashion hivi sasa watu watamfanya vibaya yule mwanaume kama kumlawiti.kwa nini adhabu hii...
Watu wote maana yake watu wote! Watu wakishakuwa na sifa ya kuwa wanandoa, kwa maana ya kupata kibali kwa wazazi na hatimaye mtu kukabidhiwa mke n.k. Ndoa hiyo inapaswa kuheshimiwa!
Hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.