PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 829
- 443
Habari gani pareeeeee!!!?
Nimekuwa msomaji wa forum mbali mbali hasa kwenye mambo ya mapenzi. Kwa asilimia kubwa wengi wamekua wanafundisha mbinu za kumnasa mtu wa ndoto yako both me and ke.
Leo natamani sana wale wataalam wa Lishe waje watoe somo juu ya masuala ya mlo kamili kwa wapenzi bila kujali ni wanandoa au ni wasambaza Upendo wa kawaida tu.
Ni ukweli usiopingika hasa kwa vijana wa kiume kujihusisha na extreme sex bila kujua wale nini baada ya shughuli hiyo inayochoma nguvu nyingi za mwili. Na matokeo yake wanaishia kukonda tu. wale wanajitambua kidogo huishia kunywa supu tu na kuhisi ndo wamemaliza kazi. Japo mie sio mtaalam lkn nahisi wanatakiwa kula zaidi ya supu.
Maisha ya vijana wa kiume hasa waseja sio ya kupika pika. Akirudi kutoka anakofanyia kazi ameshakula kabisa hotelin, migahawani na kwa mama Ntilie. Akifika geto anagegeda usiku kucha.
Wengi wanatamani wajue mlo gani sasa wale baada Ya kazi hiyo.
Hata wale wanandoa wengi tu hawajui mlo gani ni muafaka baada ya tendo takatifu ili kurejesha afya zao ktk hali ya kawaida maana afya njema ni mtaji kwa Taifa lolote.
Karibuni kwa Wanaojua mtuelimishe, na wale waliopo kundi kama langu tukachukue daftari, penseli daftari na mfuto kwajili Ya kujifunza.