kitigiria
Senior Member
- Apr 28, 2014
- 149
- 41
SALAAM,
Ndugu yangu unayesoma post hii naomba kama uko kwenye nafasi ya kunisaidia au kuniunganisha na kampuni au NGO yoyote ili nipate lau ajira iwe ya muda au ya kudumu tafadhali nisaidie.
Imekua muda sasa sina ajira, wewe unaejua what it means to be unemployed please come to my rescue.
Naweza kufanya kazi yoyote inayohusu community, au procurement nina adv.diploma in procurement and supply.
Napatatikana Dar es Salaam. please pm me or email me via this email mshanga2014@yahoo.com
Sina chochote cha kukulipa ila natanguliza shukrani zangu za thati.
Asante.