Ndoa kaburi la mapenzi

Ndoa kaburi la mapenzi

babatovu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
2,739
Reaction score
1,604
Salaam,
Wana jamvi nadhani mtakubaliana nami ya kua ndoa ni kaburi la mapenzi. Wakati wa urafiki mpaka wakati wa uchumba kunakua na vionjo, manjonjo na vikorombwezo vingi kati ya wapendanao lakini baadaya kuona karibia vyote hizikwa kwenye kaburi la ndoa.
 
Ndoa taamuu na nzuri wewe endelea tu na hao madada poa wako ,tuacheni tufaidi ndoa zetu
 
Salaam,
Wana jamvi nadhani mtakubaliana nami ya kua ndoa ni kaburi la mapenzi. Wakati wa urafiki mpaka wakati wa uchumba kunakua na vionjo, manjonjo na vikorombwezo vingi kati ya wapendanao lakini baadaya kuona karibia vyote hizikwa kwenye kaburi la ndoa.

Ukionda ndoa inaingia mushkeli ujue waliooana kuna mmoja kafanya chaguo si sahihi!! Wanaopendana ndoa yao ni kama mbinguni, furaha muda wote!!

Huniambii lolote kuhusu ndoa
 
kama ulivyosema hapo juu kuwa wakati wa urafiki au uchumba kunakuwa na vionjo manjonjo na vikorombwezo vinavyopelekea mapenzi kuwa matamu,kuna sababu gani ya kukubali kuingia kaburini ukishafunga ndoa kwa kuacha kufanya hayo manjonjo wakati manjonjo hayo uliyamudu wakati wa urafiki au uchumba?!
 
Wewe na mkeo wote mageneza haiwezekani uingie kaburini wakati huu hai...
 
Mmmm mi nilijua huko ndo mapenzi motomoto mmmhh
 
Yamekukuta nini kwako?unazani na wengine ivyo ivyo.polee.
 
Ndoa nikufanya yale mambo mliyo ahidiana sasa kama inakuwa kaburi basi wote ni wanasiasa. Mnahitaji upinzani(mchepuko) kuwa chalenge apo manjonjo yatarudi.
 
Back
Top Bottom