Nahitaji mke wa kuoa

Nahitaji mke wa kuoa

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,635
Nahitaji mwanamke aliye serious kuolewa, awe mkristo, anaishi dar,mwajiriwa au Mjasiriamali, hata kama ana mtoto,elimu awe na degree na awe na miaka kuanzia 26 hadi 35.
Njoo PM tuzungumze .
 
Acha viroba ndugu, mke hatafutwi kwe JF bwana. Mutakuja tapeliana bure kabisa, shawili yako!
 
Aisee mbona wako wengi tu,vp huwaoni ama hukutani nao?tupe na wewe CV yako tufahamu,maana umeweka unavyotaka,na je na mtu mwenye 38 na ana mtoto 1 anafaa?
 
Aisee mi nna vigezo kasoro sina kazi....nalelewa tu na mijibaba
 
Back
Top Bottom