Ndo maana hawakujibu,hakuna aliyeokoka humu,wote ni watenda dhambi,nenda kanisani kwako,JF ndugu yangu ni ya wazinzi,walevi,waongo na n.k.
Kichwa kinajieleza hapo juu
Natafuta rafiki wa kike ambaye ameokoka na ana hofu ya Mungu ndani take, mimi ni mwanaume nina 27yrs old. nitumie PM
kuokoka ndi nini?
Ndo maana hawakujibu,hakuna aliyeokoka humu,wote ni watenda dhambi,nenda kanisani kwako,JF ndugu yangu ni ya wazinzi,walevi,waongo na n.k.
kuokoka ndi nini?
Kumkiri Yesu kristo kwa kinywa chako Kuwa ni bwana na mwokozi wa Maisha yako na kupokea neema ya kufata alichosema that's a little concept about salvation
mimi na my Lara 1 siyo walokole na wala hatuna mpango wa kuwa walokole, ila tunasali kanisani na ni wacha Mungu pia.
Huyu kaingia cha kike members wote wa jf wanongopa hawatumii majina halisi huyu sijui kakurupuka wapi anataka mlokole