Emmy P
New Member
- Feb 25, 2013
- 4
- 6
Habari wandugu,
Kwanza kabisa nitoe shukurani kwa waanzilishi wa huu mtandao kwani nimefuatilia mada nyingi hususan za kimapenzi, kwa kweli zilinigusa sana.....so nikaona na mimi nijiunge ili nipate msaada wenu wa kimawazo.....kwani nimeona baadhi ya ushauri unajenga au kurudisha mahusiano kabisa utafuatwa na wahusika.
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, naishi Dar es Salaam. Umri wangu naomba nifanye siri lakini ni kati ya 30 yrs na 40 years. Nilianza kuwa na mahusiano na mwanaume mmoja wakati nikiwa na umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa chuoni (mwaka wa kwanza). Nilimpenda sana huyo kaka kwani ndiye aliyeutoa usichana wangu (nadhani nimeeleweka hapa). Niliendelea na huyo kaka kwa muda wa miaka 6 kabla hatujaachana......huyu mtoto niliye naye yeye ndio baba yake. Huyu bwana nilishi nae kwa matumaini kwamba ndiye angekuwa mume wangu ukizingatia tulikuwa tayari na mtoto mmoja. Lakini kumbe mwenzangu alikuwa tayari na mchumba huko kwao tanga, so aliniacha baadae na kwenda kuoa.
Hiki kitendo kwa kweli kiliniumiza sana na nikajiona kama vile sikustahili kuwa katika dunia. Shangazi yangu alinihurumia sana na kunipa moyo kuwa nisiwe na mawazo sana kwani wanaume ni watu ambao hawatabiriki sana hususan hapa Dar, wengi ni walaghai wanataka wakutumie tu.....mimi nilimuelewa.
Nilikaa bila kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine hadi mwezi wa 3 mwaka jana ambapo kuna kaka mmoja aliyekuwa ananifuatilia kwa muda mrefu, hivyo niliamua kumkubali baada ya kukaa bila mwanaume kwa kitambo. Sasa huyu ndio boyfriend ninaeombes ushauri! Huyu kaka nimemzidi miaka mitatu so ni mdogo kiasi kwangu. Kiukweli ninampenda sana huyu kaka, na kipindi tunaanza mahusiano, alikuwa yuko "hot" sana. Yaani alikuwa anapenda sana mambo fulani......nakumbuka mwanzoni alikuwa ananipiga hadi bao 4 per event.........nadhani niliweza kumudu kutokana na mimi kuzidiwa na ashki, kwani muda mrefu nilikaa bila kutumia hii kitu, so ndo maana nadhani tulikuwa tunakwenda sawa kabisa na ku-enjoya ile kitu.
Na kwakweli huyu jamaa alikuwa muwazi sana kwangu....hakwenda sehemu bila kuniaga, na kila kitu kinachouhusu mahusiano yetu aliniweka wazi.......sasa mwezi wa November (mwaka jana)......tukiwa tunapiga stori chumbani ikaingia message kwenye simu yake ikiwa kwenye silent mode bila ya yeye kujua..........mimi sikumuambia kwani nilishaanza kuhisi kuwa huyu jamaa ana demu mwingine, so nikawa nai-suspect ile message.......mara akainuka akaenda washroom...... faster mimi nikaisoma ile message na kugundua kuwa ilitoka kwa msichana (jina nalihifadhi) kuwa wakutane kesho ofisini kwake msichana wakati wa lunchtime. Sasa aliporudi toka washroom, mimi sikumwambia chochote.......mara akashituka na kuangalia simu yake.....nikaona kama hana amani hivi.....mimi niakendelea kupiga kimya.
Ilipofika usiku tukaingia kitandani.....na tuka-do mambo yetu so lovely .........tena alinipa mambo si mchezo.....mimi niliridhika sana..........sasa baada ya mchezo katika sauti ya chini sana nikamuuliza,.....dear vipi, mbona kama ulikosa amani jioni ulipoangalia simu yako? Akanambia « ......aa, ni ofisini dear ..eti wanataka wanihamishe department kutoka Production kwenda Sales ..wakati mi sijui chochote kuhusu sales ». Kutokea siku hiyo nikaanza kuhisi kuwa boyfriend wangu anani-cheat.....!
Sasa juzi juzi hapa, tarehe 26 January (mwaka huu)......nikapigiwa simu nikiwa ofisini, ilikuwa namba ngeni kwangu....nilipopokea, nikasalimiwa kwa tusi na sauti ya kike........" hujambo we malaya?"........mmmh, ilibidi nishituke then nikakata simu. Baada ya kama dakika 10 ikaiita tena kwa namba ile ile...mimi sikupokea! kisha ikaingia message from same number ikiwa na ujumbe huu ....."we ms...ge, hutaki kupokea simu sio?.....anyway huyo Mr.x (jina la boyfriend wangu) tunashare wote.........na isitoshe analalamika kuwa hujui mapenzi so anataka akupige chini......ni mimi mke mwenzio" Dah, ilikuwa ni muda wa saa 6 kasoro mchana.....nilihisi naumwa ghafla so nikaomba ruhusa ofisini na kurudi nyumbani. Jioni aliporudi........alinikuta nalia kwa staili ya kwikwi....aliniuliza kulikoni, nikamuonyesha ile message.
Yeye alichoniambia ni kuwa hamfahamu huyo msichana lakini anamuhisi dada fulani amabye alikuwa girlfriend wake kabla ya kuwa nami, so huenda ndio anataka kuharibu penzi letu....nikamuuliza mbona hukuniambiaga stori za huyu msichana....badala yake uliniambia za yule mwingine (xxxx) akasema, aah huyu tuliachana nae kwa ugomvi that's why??? mimi hapo nilikuwa sijamuelewa
Sasa kitu kinachoniumiza sana ni kwamba.....mwezi wa April mwaka huu.....ndo tulipanga tuende kwao mbeya ili akanitambulishe kama mchumba wake tukiwa katika harakati za kufunga ndo.....na kinachoniumiza zaidi ni kuwa nampenda sana..............sasa kwa haya matukio mawili nafikiria niendelee na huyu jamaa au niachane nae kabla ya hiyo April? Kwani nikiondoa haya mambo ya message: Jamaa ana kazi nzuri, kipato kizuri (ingawa hata cha kwangu si kibaya sana), jamaa anajitahidi ku-care, na kikubwa zaidi........jamaa ni mtaalamu sana kwenye sita kwa sita kwani amelisoma vizuri umbo langu na limesomeka haswa kwa herufi na namba zake za kirumi.........! Naomba mnisaidie ndugu zangu!