Lipa Kwanza
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 229
- 28
Huyu dem nilitaka kumuoa akakataa na kudai ana mtu anayejulikana hadi hom sasa ni 3yrs bado yupo yupo tu,sasa hadi akiniona anabadili uelekeo.Sitomsahau kamwe..! kwani alinikejeli kwa kuniambia labda usubiri huyo jamaa akigongwa na gari afe ndo atanifikiria.Nilikatatamaa na dunia hii na hata text zake za salamu sikuwa nazijibu,sasa akiniona heee.....