Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
Jamani nipo seriously natafuta mchumba. Natafuta mwanamke nitakae make nae maisha, mimi ni muajiriwa serikalini awe kati ya umri 17-22,mimi ni mrefu kidogo na ni maji ya kunde, so sihitaji chochote zaidi ya mapenzi ya dhati, kwa aliye tayari anicheki PM

Asanteni saaana
 
Usawa huu unazani utapata mchumba..? Kuwa mkweli omba papuchi hizo.. Mbna hawana tatzo..
 
Good ndugu tafuta mchumba japo hujaweka wasifu wako hapa naona umeweka namba za simu mapemaa! Weka wasifu wako wahusika wavutiwe halafa hiyo namba ya simu iondoe ili usisumbuliwe na wasio na nia. Mwenye nia atakufata PM. Kazi kwenu vijana.
 
asante jeneral nimekuelewa vizuri ndugu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom