Anywhere

Anywhere

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Any where i gate wife material,, mimi naamini hilo!! kama yupo msichana anaye amini yeye ni wife material, yupo single na ni mpweke anahitaji kuingia katika serious relation naomba PM yako, hata kama una rafiki yako au ndugu pia naomba msaada wa kuniunganisha naye,

Napenda mpenzi mrefu wa wasta, rangi halisi (mweupe, maji ya kunde au chocolate)

Asiwe anatumia kilevi na kama anatumia basi iwe kidogo kwa starehe, mimi situmii kabisa

Awe mkristo ili isiwe tabu kuingia katika ndoa!!

Sichagui kabila wa elimu, muhimu ni mtu kujitambua na kuelewa dhamani yake na mwenzie!!

Mambo mengine tutaambiana PM, kama upo serious karibu saana!!

Thank you
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom