raamar
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 252
- 23
Mimi ni kijana mwenye kipato changu cha kutosha tu na nimeajiriwa Serikalini, nimejitokeza hapa kutafuta mchumba. Natafuta mwanamke nitakae weza kuwa nae maishani, umri ni 17-22 uwe na kazi usiwe na kazi sawa, please kama unahusika njoo PM now.
Asanteni
Asanteni