albertt
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 339
- 78
Habiri wakuu,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka isiyozidi 25 lakini haipo chini ya 21. Natafuta rafiki wa kike mwenye Umri usiopungua miaka 20 but usizidi miaka 35. Awe anapenda kusocialize, asiwe anakariri kila kitu, awe pia anajua kubadilika kutokana na mazingira (coz hata mie nahisi nina sifa hizo)
Mwenye sifa hizo please unakaribishwa au hata kama unamfahamu mtu mwenye sifa hizo mwambie namtafuta kwa kweli.
Note:
Maisha ya upweke yamenishinda mie, natafuta wakubadilishana nae mawazo na pia nataka kumkabizi moyo wangu. Zama private please
Karibuni