Kiswahili katika mapenzi

Kiswahili katika mapenzi

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
523
Reaction score
916
Kiswahil hakijakaa kimahaba kabisa mfano mimi dame akanambia mpenzi nakupenda namona mwizi tu hana lolote. Kwa ufupi kswahili acheni watumie askari na jeshi sio katika mapenzi lakini English inapendeza bana unakuta mtoto anakwambia i love you darling inapendeza afu ina mvuto sana umpate

Mtoto anajua kunongoneza kimahaba hasa pale kwenye habar yenyewe mbona raha.
Watoto wa uswazi mkasome:behindsofa:
 
mwalimu wako wa mwandiko alikua mlevi bila shaka!!! sio kiswahili hicho
 
hahaha ivi uliwaza nn?kweli jf haiishi vituko,ata tusiosoma neno I LOVE U DARLING,I MISS U BABY,I NEED U SWEETHEART hayatupigi chenga lol
 
kiswahil akjakaa kmaaba kabsa mfano mm dame aknambia mpenz nakupenda namona mwzi tu ana lolote. ufup kswahil achen watumie askar na jeshn cio ktk mapenz lakn english inapendeza bhana unakuta mtoto anakwambia i love you darling inapendeza afu ina mvuto sna umpate mtoto anajua kunongoneza kimaaba asa pale kwny abar ynywe mbona raa. watoto wa uswaz mkasome:behindsofa:


Tatizo msamiati wako wa kiswahili mdogo sana. Kiswahili kina maneno ya mahaba kuliko kingereza. Nakifananisha na kispanyola, kitaliano na kifaransa kwa maneno ya mahaba. Kijerumani nndio bure kabisa.
 
Yanayolewesha enzi hizi sio English,wala France ,Arabic ,Spanyol etc
Hela ndo inafanya mapenzi yawe romantic...huduma kama za tigopesa,M-pesa,Airtel Money,ATM ndo zinazowanyegesha wenzio stuka....!!ingekua ndo hivyo sauti ya kiza Andanenga mzee wa mashairi ndo angekua anamiliki mtoto Kyln(asipaone Mzee Mengi hapa)
 
Tatizo msamiati wako wa kiswahili mdogo sana. Kiswahili kina maneno ya mahaba kuliko kingereza. Nakifananisha na kispanyola, kitaliano na kifaransa kwa maneno ya mahaba. Kijerumani nndio bure kabisa.

Espanol acha tu, nadhani hiyo lugha ni kwa ajili ya kuexpress love, nothing else.
 
Ha ha zaidi ya ku express love - mucho más que expresar el amor!
 
Kweli tamthilia za kifilipino zimekuharibu.,Mzungu wewe.,
 
mi na mwenzangu huwa tunatumia kiswahili tu. Kina mvuto ukikizoea
 
Tatizo msamiati wako wa kiswahili mdogo sana. Kiswahili kina maneno ya mahaba kuliko kingereza. Nakifananisha na kispanyola, kitaliano na kifaransa kwa maneno ya mahaba. Kijerumani nndio bure kabisa.

Huyu naona bado hajakutana na mhunzi wa lugha
 
Back
Top Bottom