Wanaagana kweli au?

Wanaagana kweli au?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,338
Reaction score
1,127
Mujini kuna mengi tusiyoyajua.
Nimeiskia kwa watu kama watatu sasa. Mdada anakuwa na boyfriend na anakuwa na mchumba. Sasa ikiwa bado kama wiki moja akafunge ndoa anaenda kwa boyfriend eti kupiga mechi ya kuagana. Je wanaagana kweli au wanaahilisha tu then wataendaelea?
Mie nadhani Katika hali ya kawaida mara baada ya mchumba kujitambulisha kwao basi angempiga chini boyfriend kwani sasa anauhakika wa kuolewa.

Wadau mnasemaje?
 
wnakuwa wanapeana cha mwisho mwisho ndoa inapofika mchana wanarudiana
 
Hakuna cha kuagana hapo ni kupozana tu then inaendelea part two....
 
Mdada anakuwa na boyfriend na anakuwa na mchumba. Sasa ikiwa bado kama wiki moja akafunge ndoa anaenda kwa boyfriend eti kupiga mechi ya kuagana. Je wanaagana kweli au wanaahilisha tu then wataendaelea?

Dhambi huhalalisha mambo mengi mabaya yaonekane mazuri...!!
 
Back
Top Bottom