Bableyy
Member
- Aug 4, 2014
- 72
- 26
Habari Wadau wa love connect, mm ally niko Zanzibar, nina miaka 26, Nimemaliza degree nafanya kazi natafuta mchumba kwa lengo la kupanga maisha hapo baadae tukiwa wote na kufunga ndoa. Sifa za msichana, awe muislamu, miaka 18 hadi 27, awe na elimu ya deploma au degree, sehemu yeyote aliyekuwepo. Plz namba zangu za whatsapp ni 0777 790279 ok check me now.