Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuonyeshwa mapenzi yaliyopitiliza: Huyu ana ushuhuda…! Nilifunga ndoa na mume ambaye mwanzoni kila mtu aliamini kwamba nilimpa madawa ya kumpumbaza kwa jinsi alivyokuwa amehemkwa kwa...
13 Reactions
104 Replies
19K Views
Habari zenu wana group. Tunauza PADS za Human Cherish maarufu kama HQ. Kwa sasa tuna Sanitary Pads tu ambazo hutumiwa na wanawake kwenye kipindi cha HEDHI. PADS hizi ni Pads zenye ubora...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za wakati huu great thinkers. Takribani miaka kumi na mbili sasa katika ndoa yetu na tumefanikiwa kupata watoto wawili wote wa kiume. Mke wangu ana rafiki yake wa muda mrefu sana...
0 Reactions
153 Replies
16K Views
Naitwa James, napatikana Iringa, umri wangu ni miaka 26, sijaoa na ni mwanaume, nimejitokeza kwa mara ya kwanza hapa kutafuta mchumba mweupe wa kabila lolote ila asiwe anatokea mbali sana toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Kuwahi kufika kileleni(premature ejaculation,P.E) si sjambo geni kwa wengi,lengo ni kutatua tatizo na si vinginevyo. Nime post hapa kwasababu litawafikia wengi zaidi na...
7 Reactions
51 Replies
12K Views
Yaani wanawake sijui mpoje yani (SI WOTE), mmekalia majungu tu kwenye harusi za wenzenu. Unaweza kusema watu wamekuja kufurahia pamoja nawewe katika harusi kumbe wamekuja kukuchora tu. Harusi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari. Mimi ni kijana wa miaka 29 naishi Kinyerezi nafanya kazi kwenye kampuni binafsi, natafuta binti awe mchumba ambaye atakuwa mke baada ya kufanya taratibu zote. Awe na sifa zifuatazo Umri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
(Mods kwa indhini yenu naomba hii topic iwe hapa MMU kwani ni watu wengi wanaleta issues zao hapa wanapokuwa "heart-broken"... Asanteni) Kichwa cha habari hapo juu chahusika Unapokuwa na maumivu...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Baadhi yetu tunajua au kwa kuambiwa ama kwa kuhisi kwamba, tunaringa sana na pengine tumejaa dharau kwa wengine. Baadhi yetu hatujali kuhusu hisia za wengine, na tunachukulia shida za wengine...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
AM 24 YEARS OLD END AM LOOKING FOR E BEAUTIFULL MAMA OR LADY TO MARRY ME.WHAT MATTERS IS REAL LOVE END TRUTH TO EACH OTHER.ANY ONE INTRESTED CALL MY NO.+255719029016 MY EMAIL ADRESS IS...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mathayo 19:9 linaeleza vizuri. ''ninawaambia kwamba mtu yeyote anayemtaliki mke wake na kuoa mwingine, ila kwa sababu ya uasherati, anafanya uzinzi''. kama mwanamke ni muasherati unaruhusiwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaishi na mwanamke tangu mwezi uliopita. Hatujaoana ila niko mbioni. Hapa niishipo pia kuna mtoto wa dada yangu, ambaye namsomesha na yuko darasa la sita shule ya msingi mbuyuni. Muda huu ndio...
1 Reactions
79 Replies
15K Views
Habiri wakuu, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka isiyozidi 29 lakini haipo chini ya 25. Natafuta rafiki wa kiume mwenye Umri usiopungua miaka 30 but usizidi miaka 45. Awe anapenda kusocialize...
7 Reactions
121 Replies
19K Views
Nataka awe mpenz wang wa kudumu,awe above 40yrs,mi mwenyewe nipo 32yrs,asiwe na mume, kma umeachka au mjane itakuwa poa,aliye tayar aache namba hapa nitampigia.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KWA UFUPI "Anatakiwa ajiamini katika kutekeleza majukumu yake, pia asiogope kushindwa kwani ni sehemu ya mapambano katika maisha. Hivyo, hatakiwi kuwa na hofu katika kutekeleza majukumu yake"...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi naitwa Fred ... Ni baba wa familia ya Mke na watoto wawili, naipenda familia yangu na tunaishi vizuri. Kikubwa nilipata promotion kazini Hali iliyolazimu niiache familia yangu pale...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa..... NATAFUTA MUME Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke. Nimetoka kwenye...
1 Reactions
150 Replies
30K Views
They are believed to have been dating each other for the past six months. But on Monday evening Orange Is The New Black actress Samira Wiley and Lauren Morelli (who is a writer on the show)...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wanaume kwa kawaida hutumia mbinu nyingi pale wanaposaka papuch. Mdada utasifiwa hadi sifa ambazo hata malaika hana! Mara romantic eyes... sijui nini nini mouth (mnajua wenyewe mnavyoita) nk...
3 Reactions
126 Replies
11K Views
wakuu nina tatizo nimekaa nalo muda mrefu sana moyoni mwangu' tumezaliwa wanne kwenye familia yetu' sisi ni wachaga na tumekulia na kulelewa na kusoma uchagani' lakini kwa kadri tulivyokuwa...
15 Reactions
149 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…