Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jana jioni nimeipata hii: mke wa jirani ametonya rafiki yake wa karibu sana kuhusiana na siri ya kumtia kitanzini mumewe kuwa ni ndumba ambazo zimejaa kwenye kabati na ya kuwa kamwe hawezi...
2 Reactions
108 Replies
14K Views
Jamani wanaume jitahidini sana tena kwa bidii kuelewa wake zenu wanataka nini kwenye ndoa. Kuna wanawake wanaoolewa wakitaka mapenzi tu, kuna wanaotaka pesa na mapenzi, kuna wanaotaka kutoa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Poleni sana watanzania wote kwa msiba mkubwa, hasa kwa wale wapenzi wa Tasnia ya Filamu nchini, kwa kuondokewa na kipenzi chetu, kaka yetu, The Great Steve K!! Tulimpenda, ila mungu amempenda...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Yaani kwa kweli mambo ya hii dunia ni ya ajabu na siku zote umdhaniae ndie kumbe sie kwa kweli, kuna rafiki yangu ambaye kwa kweli si kama tuna urafiki sana lakini ni rafiki maana tunaheshimiana...
0 Reactions
126 Replies
12K Views
Wanajamvi wasalaam. Mnaweza kushangaa kwanini nimeuliza hili swali lakini ukweli ni kwamba wanaume wa kiafrika hasa Watanzania tumekuwa tuki oa wanawake kwaajili ya familia zetu na wala si...
7 Reactions
36 Replies
10K Views
Jamani mie chanikera kitu hiki, wakuta mwanamke au mwanaume eti anakuwa chagua chagua, anachagua hadi umri unafikia mkubwa hasa than 34 bado yeye anachagua. Ukimuuliza eti anakuambia anatarajia...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari, kuna wengine huko waliko ni usiku, usiku mwema! Rudi mpenzi! Ushawahi kuiskia kauli hii? Unajua sababu ya kauli hii? Wengi hujutia maamuzi ya talaka. Zaidi ya nusu ya talaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Me nipo dsm vigezo awe mkristo umri miaka 18 had 20 pia Elimu kidato cha 4 had cha chuo mwaka wa kwanza by then am 21 yrs old ukiwa tayar ni @pm
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nilikuwa sifahamu au kushuhudia nguvu ya penzi, mpaka juzi kati niliposhuhudia live. Brother wangu aliugua ghafla na chapu chapu tukampeleka zahanati iliyokaribu kwa ajili ya...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Makurumla iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Maria Samuel Hoza, amejikuta akiaibika vibaya baada ya mumewe, Bryton Muhanje kumkuta akiwa katika hatua za mwisho...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii habari, nikaona inafaa kushare nanyi. Nimeiweka MMU makusudi maana pana watu wengi kuliko kwa madokta. Nimekopi na kupesti, sijaitohoa ili...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 38 na elimu yangu ni shahada natafuta rafiki wa kike kuanzia miaka 33 kwa ajili ya kubadilishana mawazo ya kimaisha. Masuala ya ngono hapana. aliyetayari ani PM.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Njooni tulonge kuhusu hii mada hivi utafanyaje unapokugundua mkeo mpendwa anakusaliti? akaomba msamaha hatorejea?
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF Naomba tuongeze katika maarifa yetu, Baadhi ya maeneo muhimu ya wazazi kuambatana na watoto wao. Nyumba ya ibada: Hili liko wazi, ni muhimu mtoto kumjua Mungu. Maadili mema...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Alikua mkali sana, hasira kali, hapigi simu hata nikimpa salio. Kwa kifupi alikuwa ananitafuta tu wakati akiwa na shida. Sasa akiomba salio namweleza sina, akiuliza mbona simpigii namweleza nipe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
I have 6 years relation with my girlfriend and we have decided to get married. But one thing is annoying me alot is that she is not giving me attention but when ever I used to ask her she says...
1 Reactions
70 Replies
8K Views
KAMA NI WEWE UNGEFANYAJE: kijana mmoja wa kiume alitandika kitanda cha bosi wake alipomaliza akakitazama sana akasema naweza kufa bila ya kulalia kitanda kama hiki akasema ngoja nijaribu kulala...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Jamani kusameheana ni kitu muhimu mno. Ukiwa na mpenzi au rafiki mmegombana si vyema kuvunja uhusiano wenu sameheaneni na vumilianeni. Kwa sababu there is no perfect relationship duniani na ndo...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Aise wanawake wa ajabu kweli. Kuna msichana mmoja mkali kinoma kuzidi mpenzi wangu. Anataka nayeye nimfanyie kama rafiki yake. Amekuwa akinisumbua yapata miezi mitatu sasa. Huyu demu hafichi...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe, au yule ambaye muda mwingi anaonekana kama hana habari vile Katika swala zima la kuweka zile Application za...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…