Mwanaume mwenye wivu ambaye kila saa ana shika shika na kuchunguza Simu ya Mkewe, au yule ambaye muda mwingi anaonekana kama hana habari vile
Katika swala zima la kuweka zile Application za kufuatilia nyendo za mkewe katika simu....
Ni kuto kujiamini na kuaminiana tu. Awe mwanamke au mwanaume cm ya mkononi ni kwa matumizi binafsi.We unampenda mtu unampekua peliä nini? Onyesha upendo baaaasi.
Shika cm ya mkeo ukute msg zetu halafu ufe kwa presha,unatuachia tunajipakulia kilaini,eti wengine wamecoment eti mwili mmoja!nyooooo nani kawadanganya?
Shika cm ya mkeo ukute msg zetu halafu ufe kwa presha,unatuachia tunajipakulia kilaini,eti wengine wamecoment eti mwili mmoja!nyooooo nani kawadanganya?
Tatizo tunaichukulia ndoa kirahisi rahisi sana, kama mnashea nyuchi itakuwa simu banaa??? Ukishasema huyu ni mume/mke wangu huna cha kuficha, wanajificha ficha wenye 'mademu' hukooo lakini si wenye ndoa takatifu!!
Yaani mumeo/mkeo asishike simu yako sababu ni yako binafsi, WHAT!!!!!!,hahaaaa
Na ukiona mtu hata hajihusishi na simu yako ujue na yake hataki uiguse. Kwa maana nyingine wote mmekutana mmoja kiwembe,na mweingine anagawa kama pipi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.