illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Jamani mie chanikera kitu hiki, wakuta mwanamke au mwanaume eti anakuwa chagua chagua, anachagua hadi umri unafikia mkubwa hasa than 34 bado yeye anachagua.
Ukimuuliza eti anakuambia anatarajia aje aoe mwanamke Mara mweupe, Kabila Fulani, oohh dini Fulani, oohh age Fulani .Education Fulani
Atampata mwenye vigezo anavyovitaka kama viwili vingine hana atakataa eti anataka awe na vigezo vyote
Eehhh Jamani kumbuka Wewe si muumbaji Pili Ndoa ya mke na mume ni Mungu anapanga
Unaweza umkatae mwanamke mweusi lakini kumbe Mungu kakupangia mweusi Ndio unakaa miaka yoote huoi, Unaweza umkatae mwanamke age Fulani kumbe Mungu kakupangia mwanamke mwenye age hiyo.. Omba Mungu, Utakaye mpata Sali uombe mungu akunyooshee kama ndie mwenyewe..
Pia cha msingi angalia tabia kwa maisha ya sasa, vingine utajua huko mbele kwa mbele.
Ndio maana wengine wanaoa kwa uzuri kumbe si lolote wala chochote uzuri wenyewe sikuhizi upo madukani, Elimu umemlipia ada wewe? Kabila, kaoe kwenu basi.
Unaweza ukawa unamkataa mtu na kumuona wa ajaabu kumbe ndio huyo ukajikuta baadae upo nae katika ndoa.
Ndio maana wazee wa zamani walikuwa wanasema usimseme mkunga angali bado unazaa...Coz unachokikataa unaweza kipata wewe bila kujitambua...Kama si wewe mwenyewe basi familia yako.