Sasa ni zamu yangu kula bata

Sasa ni zamu yangu kula bata

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
229
Reaction score
28
Alikua mkali sana, hasira kali, hapigi simu hata nikimpa salio.

Kwa kifupi alikuwa ananitafuta tu wakati akiwa na shida.

Sasa akiomba salio namweleza sina, akiuliza mbona simpigii namweleza nipe salio, akinipa namweleza nilikua na deni salio limechukuliwa akipiga namwambia subiri nitakupigia sipigi.
Sasa heshima imerudi.

Ninyi wana JF heshi ya pendo likipotea mnalirudishaje?

Nipeni maarifa zaidi.
 
tafuta rafiki yake wa karibu sana, awe mpenzi wako....apo bata ndo utakula vizur, mpk 'kuku' aonewivu.....
 
Alikua mkali
sana,hasira kali,hapigi simu hata nikimpa salio...kwa kifupi alikua
ananitafuta tu wakati akiwa na shida.Sasa akiomba salio namweleza
sina,akiuliza mbona simpigii namweleza nipe salio,akinipa
namweleza nilikua na deni salio
limechukuliwa akipiga namwambia
subiri ntakupigia sipigi.....Sasa heshima imerudi..ninyi
wana JF heshi ya pendo Ikipotea
mnairudishaje?...nipeni maarifa zaidi.....

kwan bado unampenda? na bata unakula na nan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom