Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
Aise wanawake wa ajabu kweli.
Kuna msichana mmoja mkali kinoma kuzidi mpenzi wangu.
Anataka nayeye nimfanyie kama rafiki yake. Amekuwa akinisumbua yapata miezi mitatu sasa.
Huyu demu hafichi ananieleza ukweli jinsi anavyosimuliwa na rafiki yake namna gani ninavyo mpandisha panapo Kilimanjaro.
Amekuwa anatamani sana na yeye apate nafasi hiyo japo siku moja.
Sijui ni chinje au ni ache. Unajua mitego hii nyie wapenzi mnatutengenezea.