Wadau wa MMU, hii imekaaje

Wadau wa MMU, hii imekaaje

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Makurumla iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Maria Samuel Hoza, amejikuta akiaibika vibaya baada ya mumewe, Bryton Muhanje kumkuta akiwa katika hatua za mwisho za kufunga ndoa nyingine kwenye Kanisa Katoliki la
Kigogo Luhanga, Jumamosi iliyopita.


Hii imekaaje wana JF?
MWALIMU_AIBU.JPG
 
Kama jamaa kagoma kutoa talaka na huduma hatoi unategemea mwanamke afanye nini?
 
MWALIMU mmoja wa Shule ya Msingi Makurumla iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam, Maria Samuel Hoza, amejikuta akiaibika vibaya baada ya mumewe, Bryton Muhanje kumkuta akiwa katika hatua za mwisho za kufunga ndoa nyingine kwenye Kanisa Katoliki la
Kigogo Luhanga, Jumamosi iliyopita.


Hii imekaaje wana JF?
View attachment 182660

I see!......
 
Hakuogopa biblia huyu jamaa?

hiyo ndoa ya kwanza ilikuwa verified?

attachment.php
 
Ina maana jamaa kapitia process zote za kuoa kabisa wakati ana mke mwingine ndani?

ila DSM kuna vituko!
 
Ngoja niendelee kuimba tu nyimbo msizo zijua

Nikioa nitawaambia
 
Back
Top Bottom