Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jumapili, Leo nimeamua kuwasimulia maswahibu yaliyowapata kaka zangu wawili kwenye ndoa zao ili liwe somo kwa wale ambao hawajaoa kama mimi. Kaka yangu huyu ni banamu yangu nitampa...
0 Reactions
72 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu, hivi linapokuja suala zima la kutafuta mke au mume dini huwa haizingatiwi? maana kuna matangazo humu huwa yananishangaza, unakuta mtu anabandika katangazo cha kusaka mke/...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habarini za siku. Katika pitapita zangu, na kujionea maisha ya wanaume wenzangu, nimegundua kuwa wanaume wengi hupenda kuoa wanawake wapole ambaye akijadiliana nae jambo hapandi juu kama...
12 Reactions
170 Replies
20K Views
Hakuna shule yenye mitihani migumu kama ndoa na ndio maana unapewa cheti cha ndoa kwanza halafu mitihani yake unaikabili baadae kama ingeanza mitihani kwanza nina imani wengi wangetoroka shule na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ni sawa mtu yuko tayari kuoa hana hata cent anatarajia michango ya washkaji..?....Harusi bomba ni ile unaandaa kila kitu unaita tu washkaji kushuhudia na kukupongeza kama wataamua kukupa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu marafiki, nimekuwa najiuliza hivi hii ni tabia, desturi,sheria au kujiendekeza tuu. Utakuta mdada anafanya kazi na anapata mshahara mzuri lakini mdada huyo kutwa kuomba hela kwa...
5 Reactions
136 Replies
11K Views
BAADA YA KUCHUNIANA KWA MUDA MREFU, MPENZI WA KIKE ANAAMUA KUMPIGIA MSELA WAKE SIMU. Simu inaita kwa mara kwanza hadi inakatika bila kupokelewa. Manzi hakati tamaa, anapiga tena na baada ya ngrii...
7 Reactions
85 Replies
10K Views
Katika familia au pengine maisha ya ndoa kupata watoto wa KIKE na wa KIUME ni furaha sana. Familia ikipata watoto wote wa kiume mzazi wakiume yaani baba huona poa tu. Familia ikipata watoto...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
asiwe mnene umri wowote mrefu ni bora mimi ni mrefu, sina kitambi, nina pesa zangu, watoto ninao, nataka wa kustarehe naye tu sio kuoa. karibu mwenye nia ani pm.
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari zenu marafiki? Kwa kuamini busara hekima na weledi wa wanajamvi mliosheheni humu ndani, Wake kwa waume, Wazee kwa vijana, Magwiji kwa Mamanju, Wezi wa Mapenzi. Kwa taadhima na mhemko...
2 Reactions
103 Replies
8K Views
Nimependana na mwanamke ambaye amenizidi kama miaka mitatu ivi Mimi nina miaka 25 yeye ana miaka 29. Ila tunapendana drop your comments please.
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Hivi sasa wataalamu waliobobea wamethibitisha pasi na shaka kwamba kwenda utupu yaani kwenda kikomandoo kuna faida nyingi tofauti na jinsi inavyofikiriwa. ‘Kutojisitiri na nguo ya ndani...
10 Reactions
74 Replies
8K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 34 natafuta mchumba mwenye sifa sifuatazo kwanza awe mcha mungu pili elimu ya kawaida tu asiwe mlevi.mwenye kubadilika kutokana na wakati. Mwenye kupenda maendeleo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
Habari wadau Baada ya kuweka tangazo humu la kutafuta mchumba,napata usumbufu mwingi sana kutoka Kwa kina dada humu. Napenda kuwaambia wadada humu nawapenda ila siwezi kuwa nao wote. Ni hayo tu...
1 Reactions
480 Replies
31K Views
Natafuta mwanamke ambye akotayari nime mahaba motomoto naye anipe pesa.tafathali matusi sitaki maisha ni yangu.
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Ni Kijana Wakiume nina miaka 23 nimpendae kanikataa nisiyempenda ananiganda naomba ushauri wenu nifanyeje?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba ushauri dem wangu nimezifuma msg kibao za bwana wa nje nilipomuuliza akakana badae alikili kuchepuka! mara kusachi kwenye vibegi vyake nakuto condom zaina tofauti sasa mm imenichanganya...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wana MMU? Naomba kuelimishwa. Mimi nimekuwa na mpenzi wangu ila simuelewi, Kila kukicha salamu nianze mie, nikiwa kimya hata hadi jioni naye atakuwa kimya. Nikimtumia sms za love labda I...
3 Reactions
130 Replies
15K Views
Humu ndani watu wanatongozana. Ni vizuri ila mimi ninaweza kusema siwezi kutongoza nisichokiona hata japo kwa picha iliyo kamili. Kuna ndugu yangu wa kike alitongozwa na mtu kwa picha tu na ndugu...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Mimi in kijana wa Kitanzania na tafuta msichana wa kuoa tukiridhiana awe dini yeyote awe mywaji kidogo elimu Form six, chuo. Aliye tayari ani PM tutawasiliana zaidi popote alipo nitamfuata
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…