mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Asubuhi ya leo nimeshangaa sana.
Nilikuwana na punje 3 za mahindi nikawarushia kuku wangu 6 (mitetea 5 na jogoo 1).
Nilichoshuhudia ndo kimenifanya niandike huu uzi.
Niliporusha zile punje kumbe zilielekea alipo jogoo, wengine hawakunotisi kama kuna punje zimerushwa manake nilizirusha randomly.
Basi jogoo akasogelea moja, cha ajabu badala ya kuila yeye, akaita mtetea ndo akaja kuila. Halafu tena akaisogelea na ile ya pili akafanya hivyo hivyo, na ya tatu vile vile.
Kifupi yeye hakula hata moja zote zimeliwa na mitetea japo yeye ndo alikuwa wa kwanza kuziona.
Binafsi nimeshangaa sana kwani sijawahi ku-pay attention kuchunguza mienendo ya hawa viumbe. Nilivyochunguza zaidi nikagundua kumbe ile ile mitete 3 aliyoigawia zile punje ndo hiyo hiyo kutwa anashinda nayo beneti huku akijilia vyake taratibu.
Sasa nimejiuliza swali, kama jogoo anahonga mitetea iweje sisi wanaume kutwa tunalalamika suala la kuhonga? Naona kama tunapingana na nature vile au?
Kama mnakubaliana na mimi kuwa ni kweli kuhonga ni nature ya mwanaume, huku kulialia kunatoka wapi sasa? Je, ni hali ngumu ya maisha? au ni kujitutumua kujaribu kubadilisha society ione hii nature ilikosea?
Sijui lakini, ila mwenzenu sioni tatizo ktk suala zima la kuhonga.
Wenzetu wadhungu ambao tumekuwa tunawatolea mifano eti wana-practise cost sharing ni wahongaji wakubwa usiambiwe.
Uhongaji wao unajiridhisha ktk outings, sijui vacation na mi-surprises kibao ya nguvu.
So kuhonga kuko pale pale sema wanai-practise differently!
Ni mtizamo wangu anyway.