Huu tuite ni Msimu wa Ndoa siyo! Ingia sehemu zenye mikusanyiko ya watu, ni vikao vya harusi tu! Hapa nilipo naona kuna vikao sita! Na vyoote ni vya harusi.
Hongereni mnaooa na kuolewa, mnakuza uchumi wa Taifa letu.