Wife material

Wife material

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
Wapo wengi sana. Hasa hawa wabeijingi, Wenye vidato vyao. Ni material kweli maana wanapenda kuona tu vinavyoelea. Wanapenda kupendwa tu na hawapendi kusemwa.

Ni wagumu kujishusha na wepesi kutangaza mtengano. Kila waonacho wanakitolea macho pasi na uwezo wa kuhodhi . Wanajivunia tu vidato. Na vidato vitawaoa kwa kuwa wao ni wife material, seeking for material world.

Wamejipaka subira ambayo upepo tu huipukutisha na kubakia na uhalisia. Ukitaka wife material uwe na material kweli

10570458_1455936158014873_7890431857195046084_n.jpg
 
Wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake wanawake
 
kina dada mna kazi kweli kweli, mpaka kahuruma kameniingia juu yenu. Mungu awape subira na uvumilivu dada zangu.
 
U need wife material
sent from heaven or
 
Aisee,wee jamaa unatisha kwa vina,unaonaje ukamtafuta mjomba mkatengeneza kolabo,mtapiga nyasi mbaya.nmependa namna unajenga cocept.
 
Back
Top Bottom