Ktk jukwaa hili la mapenzi na Mahusiano hebu niambieni au nifunzeni...
Shanga zilee za kiunoni zinamaana gani?
Mbona baadhi ya wanaume ukivaa anakutimua nazo anakuwa hataki kabisa anakuona km...
Ilikuwa usiku hivi, binti mmoja wa chuo akanitafuta.
Since nilikuwa mpweke as wife hayupo ka miez 4, niliongea nae kwa utulivu.
Siku zilivyozidi kwenda, dada wa watu akakolea na sasa kaahidi...
Dada wa kikenya azua gumzo kwenye mitandao hasa youtube kwa kuigiza umarekani uliopitiliza kwenye date. Nimeona discussion kwenye mitandao watu wamechukia mno kwa kulaumu internet na technolojia...
Heshima ya mwanamke ni ndoa hata uwe na mapesa kama bill gates na heshima ya mwanamume ni kuwa na kazi hata uwe mzuri kama nani sijui.
Mwanamke bila kazi jamii inaweza kukuelewa na mwamume bila...
Mke ametoka katika ubavu wa mme, hakutoka kwenye unyayo ili adharauliwe na kukandamizwa.
Wala hakutoka katika kichwa ili mwanaume ajisifu eti yeye ana akili sana bali ametoka ubavuni ili...
Utakuta mtu kweli ulikuwa nae pamoja labda ni Mpenzi /Mume /Mke
Hata rafiki ikatokea siku akasafiri kwa muda mrefu au akakuacha.
Kwa mimi ninaamini kuwa licha ya kuwa mapenzi yaliyokuwamo kati...
I got to repost this.
1st year IFM, Theatre F.
Nikiwa nimekaa lecture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na...
Habarini za asubuhi wa rika langu ,shikamooni wakubwa zangu na wadogo zangu marahaba.
Wana mmu mwenzenu leo ninalo hili,wimbi la matukio ya wanaume wengi ambao kutwa hawaishi kulalamika kuwa...
Mpenzi wangu ni nesi, aliniaga anakwenda semina ya kikazi, tangu juzi jana nikapigiwa simu na jamaa kuwa mpenzi wangu kaonekana nyumba flani ambapo wanaishi watu mbalimbali, na jamaa alinijuza...
Iwe ulisoma nae primary, secondary au high school mwanamke huyo ukimuona leo ni kama mama yako mdogo au shangazi yako.
Wanawake wanawahi kuzeeka sana wakati mwanaume akishapata hela ndio...
MMU Mpo jamani naomba mniwie radhi najua mpo katika mambo ya kujua hatima ya Bunge Maalumu la Katiba litaishaje ila na Mimi nipo katika mawazo ya kujua mimi nitammliki vipi DEMBA.
Tafadhali...
Chakula chochote chaweza kuliwa, lakini chakula kingine ni bora kuliko kingine.
Mwanamke aweza kuolewa na yeyote, lakini msichana 1 ni bora kuliko mwingine.
Uzuri wa m/mke hufurahisha uso na...
Habari za jioni ya leo wadau MMU?
Naomba kushare nanyi.
Nimekuwa nikijiuliza sana kwa nini wazazi au ndugu wengi wa kiume huwa na wivu mkali sana kwa mabinti zao hasa wanapowahisi wana mahusiano...
Wana JF naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda.
Sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyoni kabisa.
A dear and loving wife has applied for a ONE WAY trip to Mars leaving behind husband and everything else that matters?
If she was your wife, what would you do of her?
Could you leave everyone...
Jamani wana j4 nisaidieni nielewe hili jambo! yani men wako open sana, let say anapoanza kumtongoza lady na akapewa chance ya kuwa na mazungumzo hakawii kuongelea swala la xperience ktk hilo...
Mimi ni kijana umri miaka 24, natafuta mrembo humu ndani.
Vigezo.
Umri kuanzia 18~22
Awe mrefu wa wastani ila sio sana , na hata ukiwa mfup kama kistur sio mbaya
Awe mweupe natural...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.